3 Angels message
JF-Expert Member
- Aug 3, 2017
- 5,350
- 15,426
Yes maana dalili so mzuriKwa kile kilichotokea pale uwanja wa Benjamini Mkapa hakika wengi wametoka vichwa chini pasi na kuamini kilichotea hasa kutokana na imani waliyokuwa nayo kwa timu ya Yanga
Ni kutokana na imani hiyo ilipelekea itolewe ahadi ya ndege ya serikali kuwasafirisha wachezaji, viongozi na mashabiki kuwapeleka Algeria maana waliamini hapa lazima yapatikane matokeo chanya
Kwa matokeo haya ya kufungwa je bado ni halali kutimiza ahadi hiyo?
Ha ha haAcha waende kutapanya hela za Watanzania pasipo faida yoyote......
Ha ha haRaisi akipata mshauri mzuri anayejua soka lazima atabadili maamuzi
Ila kwakua walimbebea mabango pale Taifa lazima ataangalia namna ya kulipa fadhila.
Ila kiuhalisia ilipaswa wapewe guta hapa hadi Algeria ili wajifunze.
Umelipiwa tiketi watu wamejaa mpaka wamevunja geti (wamesababisha hasara) na wengine wamekufa halafu mwisho wa siku mnatoka na kichapo?
Kwanza bora venye walichezeshwa na maji ya upupu ku adjust akili maana ile fungulia mbwa iliwapa utemi wakajikuta ma King Kong wana force kuingia tu kama kwao.
Wanaangalia Marumo (iliyoshuka daraja)Ha ha ha
Hivi wanaosema hii Yanga ni bora huwa wanaangalia nini?
Hiki kitu kimewagharimu sana maana kiliwapa confidence ambayo hawakupaswa kuwa nayo opponents aliokutana nao hasa wa shirikisho hawakuwa strong sana kuwapa changamoto sahihiWanaangalia Marumo (iliyoshuka daraja)
Rivers (walivyopangiwa wakaanza kushangilia kwasababu walijua wamepangwa na wabovu)
Tp Mazembe (ya Mukoko tunombe)
Baada ya hapo sifa zinaenda kwa Nabi, Mayele na kuikejeli Simba kuwa haina kikosi kizuri
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa kweliiiiiiAcha waende kutapanya hela za Watanzania pasipo faida yoyote......
Ha ha ha hs ni hasara kusafirisha msiba mara mbili bora tuzike tusasa huo msiba utasafirishwa vp kutoka algeria.?si vizuri kuwanyanyasa ndugu wa marehemu.
Pole sana mkuu mnapitia sonona kali sanaHiyo ndege tuwape makolo wakamalize mechi yao na polisi pale Moshi [emoji3]