Je, serikali itengue ahadi yake ya kutoa Ndege?

3 Angels message

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2017
Posts
5,350
Reaction score
15,426
Kwa kile kilichotokea pale uwanja wa Benjamini Mkapa hakika wengi wametoka vichwa chini pasi na kuamini kilichotea hasa kutokana na imani waliyokuwa nayo kwa timu ya Yanga

Ni kutokana na imani hiyo ilipelekea itolewe ahadi ya ndege ya serikali kuwasafirisha wachezaji, viongozi na mashabiki kuwapeleka Algeria maana waliamini hapa lazima yapatikane matokeo chanya

Kwa matokeo haya ya kufungwa je bado ni halali kutimiza ahadi hiyo?
 
Yes maana dalili so mzuri
 
Raisi akipata mshauri mzuri anayejua soka lazima atabadili maamuzi

Ila kwakua walimbebea mabango pale Taifa lazima ataangalia namna ya kulipa fadhila.

Ila kiuhalisia ilipaswa wapewe guta hapa hadi Algeria ili wajifunze.

Umelipiwa tiketi watu wamejaa mpaka wamevunja geti (wamesababisha hasara) na wengine wamekufa halafu mwisho wa siku mnatoka na kichapo?

Kwanza bora venye walichezeshwa na maji ya upupu ku adjust akili maana ile fungulia mbwa iliwapa utemi wakajikuta ma King Kong wana force kuingia tu kama kwao.
 
Ha ha ha

Hivi wanaosema hii Yanga ni bora huwa wanaangalia nini?
 
Wanaangalia Marumo (iliyoshuka daraja)

Rivers (walivyopangiwa wakaanza kushangilia kwasababu walijua wamepangwa na wabovu)

Tp Mazembe (ya Mukoko tunombe)

Baada ya hapo sifa zinaenda kwa Nabi, Mayele na kuikejeli Simba kuwa haina kikosi kizuri
 
Hiki kitu kimewagharimu sana maana kiliwapa confidence ambayo hawakupaswa kuwa nayo opponents aliokutana nao hasa wa shirikisho hawakuwa strong sana kuwapa changamoto sahihi
Kwa Yanga hii ndiyo ingekutana na Wydad ingekufa goli kuanzia 3 mechi zote mbili
 
sasa huo msiba utasafirishwa vp kutoka algeria.?si vizuri kuwanyanyasa ndugu wa marehemu.
 
Hiyo ndege tuwape makolo wakamalize mechi yao na polisi pale Moshi [emoji3]
 
Back
Top Bottom