Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Napendekeza walete kodi zote mpaka za matako, serikali hii hisiyoheshimu raia wake na raia waka3ndelea kuichekea nadhan sasa iamue hata kuwaua kabisa, utakuwa jambo jema
Naunga mkono hoja watuuwe tuNapendekeza walete kodi zote mpaka za matako, serikali hii hisiyoheshimu raia wake na raia waka3ndelea kuichekea nadhan sasa iamue hata kuwaua kabisa, utakuwa jambo jema tu
Subiri tozo zichanganyeNchi Inapasuka Taratibu Watu Tunaona wazi
Nilimsikia waziri aakilisema hili alipokuwa akihojiwa na kituo kimoja cha TV. Akasema "kila mtu atakadiriwa kulingana na kipato chake".ila hawaambiwi kuwa Serikali inataka ifanye tathmini ya kiwango cha kodi kwa kila mtu.
NA YA BAISKELI itapendeza zaidi ili Makusanyo yawe mengiKama mtakuwa muna kumbukumbu nzuri waziri wa fedha alipendekeza kodi ya watu wazima yaani kodi ya kichwa.
Binafsi napenda kulipa kodi na kama serikali itaona uhalali wa kuleta Kodi mpya zingine ziletwe haraka.
Sasa hii kodi inapaswa iwe kwa madaraja. Ashukuriwe Mungu sensa imekuwa mgongo wa serikali kupata watu kwa madaraja.
Hivyo baada ya sensa tutarajie kodi ya kichwa kuanza rasmi.
Wananchi wanaambiwa jambo moja tu kuwa serikali inataka ijue idadi kamili ya watu ili wapate kuwapelekea huduma sawasawa na uhitaji wao ila hawaambiwi kuwa Serikali inataka ifanye tathmini ya kiwango cha kodi kwa kila mtu.
Hilo ndilo litakalofuataNilimsikia waziri aakilisema hili alipokuwa akihojiwa na kituo kimoja cha TV. Akasema "kila mtu atakadiriwa kulingana na kipato chake".
Ukiyaangalia maswali ya kwenye sensa yanapita mle mle . Sasa ninyi endeleeni kufunguka kuhusu vipato vyenu huko kwenye sensa. Tusije kulaumiana baadaye.
Ndo ujue kuwa lile ni dodoso la tozo sio la sensaAseeeeh nafwaaaaa kama itakuwa hivo[emoji2955]
Manake nimefunguka mpaka nikawa nashtukia why waniulize maswali mengi vile ??!.