Je, Serikali kuja na kodi ya kichwa baada ya kuhitimisha zoezi la Sensa?

Je, Serikali kuja na kodi ya kichwa baada ya kuhitimisha zoezi la Sensa?

Kama mtakuwa muna kumbukumbu nzuri waziri wa fedha alipendekeza kodi ya watu wazima yaani kodi ya kichwa.

Binafsi napenda kulipa kodi na kama serikali itaona uhalali wa kuleta Kodi mpya zingine ziletwe haraka.

Sasa hii kodi inapaswa iwe kwa madaraja. Ashukuriwe Mungu sensa imekuwa mgongo wa serikali kupata watu kwa madaraja.

Hivyo baada ya sensa tutarajie kodi ya kichwa kuanza rasmi.

Wananchi wanaambiwa jambo moja tu kuwa serikali inataka ijue idadi kamili ya watu ili wapate kuwapelekea huduma sawasawa na uhitaji wao ila hawaambiwi kuwa Serikali inataka ifanye tathmini ya kiwango cha kodi kwa kila mtu.
Kumbe ndio maana walikuwa wanaulizia kama nina TV, Smartphone, Subwoofer na gari ili wajue bei gani wanitoze kwa hiki kichwa 😂😂😂
 
Mimi walituita nje na mpangaji mwenzngu pisi kali nkasema mimi meneja wa benki ili nichukue pts 3

Euwiiih nmekwisha maae
 
Back
Top Bottom