Je, Serikali kuja na kodi ya kichwa baada ya kuhitimisha zoezi la Sensa?

Kumbe ndio maana walikuwa wanaulizia kama nina TV, Smartphone, Subwoofer na gari ili wajue bei gani wanitoze kwa hiki kichwa ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Mimi walituita nje na mpangaji mwenzngu pisi kali nkasema mimi meneja wa benki ili nichukue pts 3

Euwiiih nmekwisha maae
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ