Je, Serikali kupitia Wizara ya Afya na TBS wana taarifa kuhusu tangazo la ‘kitapeli‘ la Dawa ya Kumfanya Mtu aachane na Ulevi?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Tangazo hilo linachezwa sana Wasafi fm (sijajua kwa Vituo vingine vya habari). Tangazo hilo linalosema kwamba hii dawa ya Hans Maks (naomba radhi kama nimeiandika vibaya) ukimpa tu Mtu Mlevi wa pombe ambaye ameshindakana kwa kila namna hasa ile ya ‘kimaombi‘ basi ukimpa hii Dawa ndani ya dakika 5 tu zijazo neno ‘Mlevi‘ Kwake linakuwa ni historia.

Nina Watu wangu wawili ambao ni ‘Walevi‘ kupindukia utadhani wote walizaliwa katika Mapipa ya Bia pale TBL Ilala Mchikichini Ndugu zao walijaribu Kuwanunulia dawa hii, wote Wawili walipopewa tu hizi dawa ili wanywe matokeo (mrejesho) wao ndani ya zile dakika 5 za ‘Mabadiliko‘ tulizoahidiwa katika Tangazo husika yalikuwa ni tofauti kabisa.

Wa Kwanza alipopewa hii dawa baada ya dakika 5 akaomba apelekwe katika Kijiwe cha Bangi/ Bange huku akisema kuwa ana hamu nayo na kwamba akipewa hiyo atakuwa ni mwenye furaha. Wa Pili Yeye alipopewa tu hiyo Dawa baada ya dakika 5 akaanza kudai apewe aina nyingine ya Bia tofauti ya ile ambayo tumemzoea mno kumuoa akiwa anainywa.

Tafadhali Mamlaka husika iingilie kati hili kwani Watu (Wananchi) wake wanatapeliwa wazi wazi. Hivi inawezekana vipi kweli mtu ameanza kunywa Pombe tokea akiwa Shule ya Upili (Secondary) na kufika Chuo Kikuu ndiyo akawa ‘ balaa ‘ zaidi kwa ulevi halafu leo unasema una Dawa ambayo ukimpa tu anywe basi ndani ya dakika 5, anakuwa si Mlevi tena? Na Mtu huyo huyo hata Maombi ya hawa Wababa Watakatifu tulionao wengi nchini nao wamemuombea lakini hakuna mabadiliko yoyote san asana ndiyo wanazidi tu.

Kama kawaida yangu nikataka Kujiridhisha zaidi kutoka kwa Wataalam wa Afya kuwa je, kwa Utaalam wao ni kweli Kisayansi kuna Dawa ambayo imepitia Maabara ambayo inaweza kumfanya mtu Mlevi aachane na Pombe ndani ya dakika 5? Majibu waliyonipa ni kwamba kitaalam hakuna Kitu kama hicho na kusema kuwa hata dawa ambazo zipo au wao huwa wanashauri Watu kuzitumia nazo huwa hazimfanyi Mtu kuacha ‘ Ulevi‘ kwa uharaka hivyo bali ni jambo ambalo huchukua muda mrefu huku likihitaji uangalifu na usimamizi mkubwa zaidi.

Hivi ni kwanini Watanzania tunachezewa hovyo akili namna hii na Watu ambao wanajulikana kabisa ni 'Matapeli' hasa nchini?
 
Ni tangazo ambalo ‘ linachezwa ‘ sana Wasafi fm ( sijajua kwa Vituo vingine vya Habari ) linalosema kwamba hii dawa ya Hans Maks ( naomba radhi kama nimeiandika vibaya ) ukimpa tu Mtu Mlevi wa Bia ambaye ameshindakana kwa kila namna hasa ile ya ‘ Kimaombi ‘ basi ukimpa hii Dawa ndani ya dakika 5 tu zijazo neno ‘ Mlevi ‘ Kwake linakuwa ni historia.

Nina Watu wangu wawili ambao ni ‘ Walevi ‘ kupindukia utadhani wote walizaliwa katika Mapipa ya Bia pale TBL Ilala Mchikichini Ndugu zao walijaribu Kuwanunulia hii Dawa na cha ajabu wote Wawili walipopewa tu hizi Dawa ili wanywe matokeo ( mrejesho ) wao ndani ya zile dakika 5 za ‘ Mabadiliko ‘ tulizoahidiwa katika Tangazo husika yalikuwa ni tofauti kabisa.

Wa Kwanza alipopewa hii Dawa baada ya dakika 5 akaomba apelekwe katika Kijiwe cha Bangi / Bange huku akisema kuwa ana hamu nayo na kwamba akipewa hiyo atakuwa ni mwenye furaha. Wa Pili Yeye alipopewa tu hiyo Dawa baada ya dakika 5 akaanza kudai apewe aina nyingine ya Bia tofauti ya ile ambayo tumemzoea mno kumuoa akiwa anainywa.

Tafadhali Mamlaka husika iingilie kati hili kwani Watu ( Wananchi ) wake ‘ wanatapeliwa ‘ wazi wazi. Hivi inawezekana vipi kweli Mtu ameanza kunywa Pombe tokea akiwa Shule ya Upili ( Secondary ) na kufika Chuo Kikuu ndiyo akawa ‘ balaa ‘ zaidi ‘ Kiulevi ‘ halafu leo unasema una Dawa ambayo ukimpa tu anywe basi ndani ya dakika 5 zijazo anakuwa si Mlevi tena? Na Mtu huyo huyo hata Maombi ya hawa Wababa Watakatifu tulionao wengi nchini nao wamemuombea lakini hakuna mabadiliko yoyote san asana ndiyo wanazidi tu.

Kama kawaida yangu nikataka Kujiridhisha zaidi kutoka kwa ‘ Wataalam ‘ wa Afya kuwa je, kwa ‘ Utaalam ‘ wao ni kweli ‘ Kisayansi ‘ kuna Dawa ambayo imepitia ‘ Maabara ‘ ambayo inaweza kumfanya Mtu ‘ Mlevi ‘ aachane na Pombe ndani ya dakika 5 tu zijazo majibu waliyonipa ni kwamba ‘ Kitaalam ‘ hakuna Kitu kama hicho na kusema kuwa hata Dawa ambazo zipo au Wao huwa wanashauri Watu kuzitumia nazo huwa hazimfanyi Mtu kuacha ‘ Ulevi ‘ kwa uharaka hivyo bali ni jambo ambalo huchukua muda mrefu huku likihitaji uangalifu na usimamizi mkubwa zaidi.

Hivi ni kwanini Watanzania tunachezewa hovyo Akili namna hii na Watu ambao wanajulikana kabisa ni ' Matapeli ' nchini?
Hapo hamna utapeli kwakuwa imeleta matokeo chanya kidogo,wa kwanza kadai bangi,wapili kaomba kubadilishiwa kinywaji baada ya kupewa dawa!nadhani angekuwepo mlevi wa tatu kwenye test angeomba papuchi 😀😀😀
 
😂 😂 😂

Inasikitisha sana kuna wapuuzi wanajitangaza kutibu magonjwa, hadi UKIMWI, lakini serikali imekaa kimya.
Tangazo hilo linachezwa sana Wasafi fm (sijajua kwa Vituo vingine vya habari). Tangazo hilo linalosema kwamba hii dawa ya Hans Maks (naomba radhi kama nimeiandika vibaya) ukimpa tu Mtu Mlevi wa pombe ambaye ameshindakana kwa kila namna hasa ile ya ‘kimaombi‘ basi ukimpa hii Dawa ndani ya dakika 5 tu zijazo neno ‘Mlevi‘ Kwake linakuwa ni historia.

Nina Watu wangu wawili ambao ni ‘Walevi‘ kupindukia utadhani wote walizaliwa katika Mapipa ya Bia pale TBL Ilala Mchikichini Ndugu zao walijaribu Kuwanunulia dawa hii, wote Wawili walipopewa tu hizi dawa ili wanywe matokeo (mrejesho) wao ndani ya zile dakika 5 za ‘Mabadiliko‘ tulizoahidiwa katika Tangazo husika yalikuwa ni tofauti kabisa.

Wa Kwanza alipopewa hii dawa baada ya dakika 5 akaomba apelekwe katika Kijiwe cha Bangi/ Bange huku akisema kuwa ana hamu nayo na kwamba akipewa hiyo atakuwa ni mwenye furaha. Wa Pili Yeye alipopewa tu hiyo Dawa baada ya dakika 5 akaanza kudai apewe aina nyingine ya Bia tofauti ya ile ambayo tumemzoea mno kumuoa akiwa anainywa.

Tafadhali Mamlaka husika iingilie kati hili kwani Watu (Wananchi) wake wanatapeliwa wazi wazi. Hivi inawezekana vipi kweli mtu ameanza kunywa Pombe tokea akiwa Shule ya Upili (Secondary) na kufika Chuo Kikuu ndiyo akawa ‘ balaa ‘ zaidi kwa ulevi halafu leo unasema una Dawa ambayo ukimpa tu anywe basi ndani ya dakika 5, anakuwa si Mlevi tena? Na Mtu huyo huyo hata Maombi ya hawa Wababa Watakatifu tulionao wengi nchini nao wamemuombea lakini hakuna mabadiliko yoyote san asana ndiyo wanazidi tu.

Kama kawaida yangu nikataka Kujiridhisha zaidi kutoka kwa Wataalam wa Afya kuwa je, kwa Utaalam wao ni kweli Kisayansi kuna Dawa ambayo imepitia Maabara ambayo inaweza kumfanya mtu Mlevi aachane na Pombe ndani ya dakika 5? Majibu waliyonipa ni kwamba kitaalam hakuna Kitu kama hicho na kusema kuwa hata dawa ambazo zipo au wao huwa wanashauri Watu kuzitumia nazo huwa hazimfanyi Mtu kuacha ‘ Ulevi‘ kwa uharaka hivyo bali ni jambo ambalo huchukua muda mrefu huku likihitaji uangalifu na usimamizi mkubwa zaidi.

Hivi ni kwanini Watanzania tunachezewa hovyo akili namna hii na watu ambao wanajulikana kabisa ni 'Matapeli' nchini?
 
Hapo hamna utapeli kwakuwa imeleta matokeo chanya kidogo,wa kwanza kadai bangi,wapili kaomba kubadilishiwa kinywaji baada ya kupewa dawa!nadhani angekuwepo mlevi wa tatu kwenye test angeomba papuchi [emoji3][emoji3][emoji3]

Na zaidi zaidi imeleta hayo matokeo ndani ya muda ulioahidiwa, dakika TANO.... walevi wawili tu hawatoshi kutoa hitimisho huenda hao wana matatizo yao ya kiakili pia.
 
Back
Top Bottom