Ni sawa,UALIMU ni wito.
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Binafsi nnafaham kuwa mshahara umepangwa mwisho degree baada ya hapo ni malupulupu tu ndio utapata (i mean ukiwa na masters post nyingi sana zitakuhitaji)
Jamani ifike mahala tuwe wamoja katika kudai haki zetu za msingi. Kwa kada zingine kama uhasibu, polisi,afya mambo yakoje kwa mtu mwenye masters? Inahesabika au hawaihesabu katika mshahara na marupurupu? Kama wanaitambua why not to teachers?
Serikali waliangaliye hili la sivyo walimu wengi watashindwa kujiendeleza au wataacha ualimu na kwenda field zingine kwa sababu hivi kuna ugumu gani mwalimu wakijiendeleza na kupata masters kupewa bar moja ya mshahara? Kwa ukweli ina bore sana hakuna marupurupu yoyote ndo kwanza ukipata masters unatengeneza ugomvi na madeo wasiokuwa na elimu hiyo na unakuwa punished kwa kupelekwa maeneo ambayo yanakuwa tofauti na elimu yako. Wito chama cha walimu, TSD, na TAMISEMI muliangalie sana hili.
Hahahah labda kwa EDUCATION! Mfano mshahara wa HAKIMU MWENYE DEGREE ni 700,000/ ,kuna tena posho ya nyumba na mavazi, HAKIMU MWENYE MASTERS ni 1,500,000/=, na posho ya nyumba na mavazi , binafsi naunga mko kuwapa mshahara sawa MWENYE DEGREE MOJA NA MASTERS sababu hamna kipya alichoongeza kwenye masters yake
tumia akili cyo unaropoka tu kama huna cha kuongea acha wanaume waongee
ni sawa,ualimu ni wito.
Sent from my blackberry 9700 using jamiiforums
Mimi mtu mwenye DEGREE YA EDUCATION namuona kama mwanafunzi wa form6 wa mzumbe au ilboru tena anaweza akamzidi mwalimu mwenye DEGREE
ulisha isoma degree ya education? Au unaropoka kutafuta umaarufu? Kozi ambayo hujasoma huwezi jua inaugumu au faida gani.