Capitano
JF-Expert Member
- Apr 7, 2011
- 1,959
- 1,633
Magufuli aliziiba pesa za wastaafu atashindwaje kuzikwiba na hizo za bimaHivi kwa mfano serikali inkiweka mfumo wa kila mwananchi kuchangia tsh elf 20 tu kwa mwaka kwenye bima ya afya inaweza kukusanya zaidi ya bilioni 500 kutoka kwa watanzania zaidi ya milioni 50 kwa mwaka. Hii pesa iende kwenye mfuko wa Bima na serikali isiiguze kwa matumizi mengine, hii ishu ya kufungua shops ni kupoteza muda na rasilimali tu.