Je serikali tatu ni muafaka wa kulinda muungano!?

Je serikali tatu ni muafaka wa kulinda muungano!?

Joined
Oct 12, 2012
Posts
52
Reaction score
10
Wanajf nakaribisha maoni yenu!!
Yangu binafc coni km ni suluhu kwa maana jambo kubwa linaloyumbisha muungano huu ni swala zima la UGAWANAJI WA RASILIMALI YA TAIFA
Sasa km serikaki mbili ilishndwa je hizi tatu itawezekana!? Jibu la haraka nililonalo ni kwmb rasilimali ya taifa itatumika vby coz kodi za wananchi zitakuwa juu kuhudumia na kuipatia pato la uendeshaji serikali tatu!!
Suluhu naona serikali iwe moja na yawepo majimbo mawili yani tanganyika state na zanziba state na kila sehemu ya jimbo wawepo magavana!! Liwepo bunge moja,mahakama moja etc.. maswala ya muungano ni ya kimkataba co ya kiserikali!!
KARIBUNI
 
Back
Top Bottom