Je, Shahawa au Mbegu za mwanaume huwa zinakaa kwenye mwili wa mwanamke kwa siku au Masaa mangapi?

Alex D

Member
Joined
Mar 13, 2022
Posts
7
Reaction score
13
Salamu wanajamvi!

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, napenda nifahamu mwanamke anapolala na kujamiiana na mwanaume zile shahawa, mbegu na majimaji vinapoingia kwenye uke wake huwa zinakaa muda gani??

Inajulikana kuwa uke unao uwezo wa kujisafisha na kutoa zile shahawa baada ya muda au siku fulani. Na mwanamke huwa anajisafisha baada ya lile tendo. Lkn kujisafisha kwake mwanamke hakumalizi ule uchafu, uchafu husafishwa na kuwa Safi kwa kusafishwa na uke wenyewe. Je, uchafu mpaka uishe na uke au uchi wa mwanamke uwe Safi kabisa inachukua masaa mangapi au siku ngapi?
 
Kuna mambo mawili au matatu umechanganya.
Uchafu?? kama unazungumzia uchafu inategemea amejisafisha vipi uchafu unaisha ata kwa dk 1 akijisafisha.
2. Kama unazungumzia Manii za kihme sio uchafu, ni maji yaliyobeba mbengu hai ambazo zikifika mahalai pake na kukaa huweza kuleta binadamu hai, hivyo usithubutu kuweka kwenye kundi la uchafu na haiwez kua uchafu.

3. Mbengu za Kiume Manii, under normal circumstance zina uwezo wa kua hai na active kwa masaa 72 na zaidi, japo mpaka siku 5 zinakua hai.
kwahiyo masaa yatapungua kulingana na ubora na afya ya mwanaume husika.

Kifupi ni kwamba mwanamke anae fikia siku ya mimba kesho akisex leo, kesho au kesho kutwa hata asiposex kuna uwezekano wa mbengu za jana kutungisha mimba humo humo ndani.
 
Salamu wanajamvi! Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, napenda nifahamu mwanamke anapolala na kujamiiana na mwanaume zile shahawa, mbegu na majimaji vinapoingia kwenye uke wake huwa zinakaa muda gani??

Inajulikana kuwa uke unao uwezo wa kujisafisha na kutoa zile shahawa baada ya muda au siku fulani. Na mwanamke huwa anajisafisha baada ya lile tendo. Lkn kujisafisha kwake mwanamke hakumalizi ule uchafu, uchafu husafishwa na kuwa Safi kwa kusafishwa na uke wenyewe. Je uchafu mpaka uishe na uke au uchi wa mwanamke uwe Safi kabisa inachukua masaa mangapi au siku ngapi??
Kama ni mimba uimeingia Anza mazoezi yakulea
 
Mkuu lea tu hiyo mimba ni yako, usianze kutafuta details za kui-escape
 
Kuna mdada alimuuliza sir kwanini mwanaume hawezi kojoa mkojo wa kawaida wakati an_t_mb_(a,o,a) sir katika kufafanua akaelezea Kwa mwanaume akaelezea na Kwa mwanamke....ndo the first day nliskia Kwa mwanamke zipo mbili
Ila hii topic mie sikuwahi ipenda, sijui kwanini hata.
Nilikua najionea mauza uza tyuu, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Zinaweza kukaa up to 7 days. Namaanisha siku saba, hawa wanaosema zinakaa kwa saa 72 ni ile elimu ya saint kayumba

Sperm zimaweza kaa ndani ya mwanamke kwa siku 5 mpaka 7 maximum

Hii niliona documentary ikizungunzia kwenye TV
 
Kuna mambo mawili au matatu umechanganya.
Uchafu?? kama unazungumzia uchafu inategemea amejisafisha vipi uchafu unaisha ata kwa dk 1 akijisafisha.
2. Kama unazungumzia Manii za kihme sio uchafu, ni maji yaliyobeba mbengu hai ambazo zikifika mahalai pake na kukaa huweza kuleta binadamu hai, hivyo usithubutu kuweka kwenye kundi la uchafu na haiwez kua uchafu.

3. Mbengu za Kiume Manii, under normal circumstance zina uwezo wa kua hai na active kwa masaa 72 na zaidi, japo mpaka siku 5 zinakua hai.
kwahiyo masaa yatapungua kulingana na ubora na afya ya mwanaume husika.

Kifupi ni kwamba mwanamke anae fikia siku ya mimba kesho akisex leo, kesho au kesho kutwa hata asiposex kuna uwezekano wa mbengu za jana kutungisha mimba humo humo ndani.
Hii sii balaaa sasa....kwa hiyo siku za kumdinya mkeo pasipo kupata mimba zinazidi pungua tuu
 
Kuna mambo mawili au matatu umechanganya.
Uchafu?? kama unazungumzia uchafu inategemea amejisafisha vipi uchafu unaisha ata kwa dk 1 akijisafisha.
2. Kama unazungumzia Manii za kihme sio uchafu, ni maji yaliyobeba mbengu hai ambazo zikifika mahalai pake na kukaa huweza kuleta binadamu hai, hivyo usithubutu kuweka kwenye kundi la uchafu na haiwez kua uchafu.

3. Mbengu za Kiume Manii, under normal circumstance zina uwezo wa kua hai na active kwa masaa 72 na zaidi, japo mpaka siku 5 zinakua hai.
kwahiyo masaa yatapungua kulingana na ubora na afya ya mwanaume husika.

Kifupi ni kwamba mwanamke anae fikia siku ya mimba kesho akisex leo, kesho au kesho kutwa hata asiposex kuna uwezekano wa mbengu za jana kutungisha mimba humo humo ndani.
Tena anapaswa kutuomba radhi kabisa yaani manii anaita uchafu kweli? Aisee imeniuma sana! tena kwa taarifa yake wakati mwingine manii inaweza kuwa absorbed kupitia vagina.
 
Zinaweza kukaa up to 7 days. Namaanisha siku saba, hawa wanaosema zinakaa kwa saa 72 ni ile elimu ya saint kayumba

Sperm zimaweza kaa ndani ya mwanamke kwa siku 5 mpaka 7 maximum

Hii niliona documentary ikizungunzia kwenye TV
Mmh kumbe umeskia kwa tv, Okay Kwanini danger days ⚠️ ni three days before day 14(high chance of ovulation) and four days after day 14,
 
Back
Top Bottom