Je shayiri inapatikana soko lipi jijini dsm?

Je shayiri inapatikana soko lipi jijini dsm?

Kabla ya soko kuungua wauzaji wa nafaka walikuwa pale soko kuu, nafikiri watakuwa wamehamia Machinga Complex.
 
Back
Top Bottom