Je, sherehe zinazotegemea Muandamo wa Mwezi haziwezi kuharibu ratiba za watu na hata saikolojia yao pia?

Tuko hapa Kujifunza na pia Kutengeneza Mijadala yenye Tija ili tupate Ufahamu zaidi.

Krav Maga sijaanzisha Mada hii kama Kuwakashifu Wahusika kama ambavyo damn Fool Wewe uwazavyo.

Hivi na wale ambao huwa wanaanzisha Mada hapa za Kuhoji yanayotendeka kwa Wakristo ( hasa Makanisani na Madhabahuni pia ) huwa wanakuwa na Chuki na wenye hiyo Imani?

Tatizo la baadhi yenu hapa mna Upumbavu wa Kurithishwa katika Koo zenu kiasi kwamba Mada ikianzishwa tu mnashindwa kutafuta Logic ndani yake na Kukimbilia katika Upuuzi wenu na kutaka kuleta Hisia za Chuki.

Wenye Akili kubwa na pana nina uhakika wataelewa dhana Kuu na Fikirishi juu ya nilichokihoji na sijaanzisha Mada hii ili kuwakera wenye Imani hiyo na atakayewaza hivyo nae atakuwa ni Juha kama Wewe.
 
Naomba kujua Faida na hasara ( hasa Kijamii na Kiustawi ) za Sherehe ambazo zinajulikana katika Kalenda na zile zinazotegemea Kuandama ( Kuchomoza ) kwa Mwezi Congo, Kigoma, Mombasa, Tanga, Zanzibar na Mtwara.
zinzshusha chumi, maana wengine wanfunga ofisi, watu n hawafanyi kazi wanasubiri mabeberu watangaze sherehe, alafu kuna MATAGA wanajinasibu hawategemei mabeberu.
 
Hata kama Leo sio eid ilipaswa iwe holiday..kumbuka lipo kind la waislamu wanakula eid Leo na huko ofisini wanahitajika
Katika Thread Content yangu nimewataja Waislamu au nimewalenga Waislamu hasa katika Mantiki yangu ya Hoja Fikirishi juu ya Jambo husika?
 
zinzshusha chumi, maana wengine wanfunga ofisi, watu n hawafanyi kazi wanasubiri mabeberu watangaze sherehe, alafu kuna MATAGA wanajinasibu hawategemei mabeberu.
Umetoroka lini Hospitali ya Wagonjwa wa Akili ya Mirembe Mkoani Dodoma Ndugu?
 
Acha ku-copy na ku-paste the very same post over and over! Umesoma nilichoandika? Mbona ulichoandika hakiendani na nilichoandika? Mbona kama tayari umeshaji-tune kupata jibu la aina fulani peke yake?

Kwa staili hiyo halafu bado unajigamba umeleta mada kwa ajili ya kujifunza na kutengeneza mijadala?! Mwanzoni nilitaka kuamini hivyo lakini inaashiria sivyo!!!
 
Upo sahihi mkuu, zinaharibu ratiba za watu.
Nilijua tu nikianzisha Uzi huu ( Mada hii ) nitaeleweka na Watu Intelligent ( Rational Thinkers ) wachache kama Wewe na baadhi waliojitokeza na watakaoendelea Kujitokeza pia.

Wapuuzi wengi huu Uzi ( Mada hii ) imewashinda kuwafanya watulize Kwanza Akili zao ili waielewe hasa Kimantiki ( Logically ) badala yake wamekuja na Majibu ya Kimihemko ( Kihisia ) zaidi na kufanya nizidi Kuwadharau tu.
 
Tuko hapa Kujifunza na pia Kutengeneza Mijadala yenye Tija ili tupate Ufahamu zaidi.

Krav Maga sijaanzisha Mada hii kama Kuwakashifu Wahusika kama ambavyo damn Fool Wewe uwazavyo.

Hivi na wale ambao huwa wanaanzisha Mada hapa za Kuhoji yanayotendeka kwa Wakristo ( hasa Makanisani na Madhabahuni pia ) huwa wanakuwa na Chuki na wenye hiyo Imani?

Tatizo la baadhi yenu hapa mna Upumbavu wa Kurithishwa katika Koo zenu kiasi kwamba Mada ikianzishwa tu mnashindwa kutafuta Logic ndani yake na Kukimbilia katika Upuuzi wenu na kutaka kuleta Hisia za Chuki.

Wenye Akili kubwa na pana nina uhakika wataelewa dhana Kuu na Fikirishi juu ya nilichokihoji na sijaanzisha Mada hii ili kuwakera wenye Imani hiyo na atakayewaza hivyo nae atakuwa ni Juha kama Wewe.
 
Kumbe ndipo ulipofikia uwezo wako ndo hapo! Au hiyo post umeandikiwa hadi ufanye kazi ya kui-copy na kui-paste bila kuangalia content?!
 
Ipo siku lugha moja tutaongea.

Serikali ikaipitisha na hii siku ikawa siku ya Mapumziko full stop.

So tukawa na siku mbili indapo zitaangukia ktk ya wiki.

Itaondoa na kumaliza changamoto.

Labda sasa lije litokee kundi lingine la tatu[emoji23],
 
Mpuuzi ni wewe ambae tayari una jibu lako kichwani na kwahiyo hutaki jibu lingine lolote, matokeo yake unafanya kazi ya ku-copy na ku-paste the very same post over and over again, kwa sababu unataka yale ymajibu yanayo-support unachoamini wewe TU!!!
 
Point inayowakaba hapa ni kwa nini, muda wa saudia na hapa bongo ni mmoja lakini wao wanaanza kufungua wakati nyie hamfungui? Naandika hii post saa 2 kamili. Na pale jeddah ni saa mbilo kamili. Kwa nini wale wanafungua hawa wa BAKWATA hawafungui?

Nisaidie hapo.
 
Kumbe ndipo ulipofikia uwezo wako ndo hapo! Au hiyo post umeandikiwa hadi ufanye kazi ya kui-copy na kui-paste bila kuangalia content?!
Tuko hapa Kujifunza na pia Kutengeneza Mijadala yenye Tija ili tupate Ufahamu zaidi.

Krav Maga sijaanzisha Mada hii kama Kuwakashifu Wahusika kama ambavyo damn Fool Wewe uwazavyo.

Hivi na wale ambao huwa wanaanzisha Mada hapa za Kuhoji yanayotendeka kwa Wakristo ( hasa Makanisani na Madhabahuni pia ) huwa wanakuwa na Chuki na wenye hiyo Imani?

Tatizo la baadhi yenu hapa mna Upumbavu wa Kurithishwa katika Koo zenu kiasi kwamba Mada ikianzishwa tu mnashindwa kutafuta Logic ndani yake na Kukimbilia katika Upuuzi wenu na kutaka kuleta Hisia za Chuki.

Wenye Akili kubwa na pana nina uhakika wataelewa dhana Kuu na Fikirishi juu ya nilichokihoji na sijaanzisha Mada hii ili kuwakera wenye Imani hiyo na atakayewaza hivyo nae atakuwa ni Juha kama Wewe.
 
Mpuuzi ni wewe ambae tayari una jibu lako kichwani na kwahiyo hutaki jibu lingine lolote, matokeo yake unafanya kazi ya ku-copy na ku-paste the very same post over and over again, kwa sababu unataka yale ymajibu yanayo-support unachoamini wewe TU!!!
Tuko hapa Kujifunza na pia Kutengeneza Mijadala yenye Tija ili tupate Ufahamu zaidi.

Krav Maga sijaanzisha Mada hii kama Kuwakashifu Wahusika kama ambavyo damn Fool Wewe uwazavyo.

Hivi na wale ambao huwa wanaanzisha Mada hapa za Kuhoji yanayotendeka kwa Wakristo ( hasa Makanisani na Madhabahuni pia ) huwa wanakuwa na Chuki na wenye hiyo Imani?

Tatizo la baadhi yenu hapa mna Upumbavu wa Kurithishwa katika Koo zenu kiasi kwamba Mada ikianzishwa tu mnashindwa kutafuta Logic ndani yake na Kukimbilia katika Upuuzi wenu na kutaka kuleta Hisia za Chuki.

Wenye Akili kubwa na pana nina uhakika wataelewa dhana Kuu na Fikirishi juu ya nilichokihoji na sijaanzisha Mada hii ili kuwakera wenye Imani hiyo na atakayewaza hivyo nae atakuwa ni Juha kama Wewe.
 
Unategemea huyo Moron ajibu Ndugu?

Cc: Chige
 
Katika Thread Content yangu nimewataja Waislamu au nimewalenga Waislamu hasa katika Mantiki yangu ya Hoja Fikirishi juu ya Jambo husika?
Kuwataja waislamu haujawataja ni kweli,lakini kuwalenga waislamu that's obvious kutokana na timing ya thread yako..au labda unifungue sherehe gani nyingine zinategemea muandamo wa mwezi kwa mifano tuu
 
Mwandiko wa GENTA huu.
 
NONSENSE!!!
 
Naomba kujua Faida na hasara ( hasa Kijamii na Kiustawi ) za Sherehe ambazo zinajulikana katika Kalenda na zile zinazotegemea Kuandama ( Kuchomoza ) kwa Mwezi Congo, Kigoma, Mombasa, Tanga, Zanzibar na Mtwara.
Fanya research mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…