Je, sherehe zinazotegemea Muandamo wa Mwezi haziwezi kuharibu ratiba za watu na hata saikolojia yao pia?

Je, sherehe zinazotegemea Muandamo wa Mwezi haziwezi kuharibu ratiba za watu na hata saikolojia yao pia?

Naomba kujua Faida na hasara (hasa Kijamii na Kiustawi) za Sherehe ambazo zinajulikana katika Kalenda na zile zinazotegemea Kuandama (Kuchomoza) kwa Mwezi Congo, Kigoma, Mombasa, Tanga, Zanzibar na Mtwara.
Jana watoto wamembiwa leo ni sikukuu, ilipofika saa mbili mufti akasema mwezi haujaandama!!!

Hii kitu inaathari kubwa kisaikolojia hasa kwa watoto..
 
Haji Manara ongea na mtoa mada huyu, eti watoa mada kama hawa ni kitu gani vile.
 
All Muslim Philosophers have been killed. Hakuna kuhoji hoji, kudadisi dadisi wala ku "philosophize" mambo haya.
 
Bado upo pale pale tu: Science vs Maagizo!

Kama nilivyosema, mafundisho yanasema “Fungeni kwa kuonekana mwezi na fungueni kwa kuonekana mwezi na kama hamjauona, kamilisheni siku 30"!

Mafundisho hayajataja mambo ya Saudi Arabia, Mecca, Madinna wala suala la "masaa" kuwa sawa! Kwani Mtume hakufahamu role ya Saudi Arabia kwenye masuala ya imani?

Na hata wanaotumia mwandamo wa Saudi Arabia, sijawahi kusikia wakitoa argument ya kufanana masaa! Watu watafuata ama mwandamo wa Saudi Arabia au mwandamo wa maeneo yao/na majirani!

Halafu soma hii Tweet:-

View attachment 1782827

Kama hoja ni mwezi mmoja, kwanini Surpreme Court iwatake Waislamu wa Saudi Arabia peke yake na isiwatake Waislmu kote duniani?!

Ukiitafakari hiyo kauli kwa makini, utagundua hata Saudi Arabia na wenyewe "...wanafunga na kufungua kwa kuuona mwezi kwenye eneo lao, au maeneo ya jirani (gulf) na sio kwingine kokote kule"

And be informed kwamba, Saudi Arabia wanategemea sana astronomical calculations kuliko kuuona mwezi kwa macho, na hivyo tayari wanakuwa na kalenda yao inayoitwa The Umm al-Qura Calendar.

Angalia hii kalenda yao hapa chini:-
View attachment 1783004
Hapo juu nilipozungushia RED, ndo tarehe ya leo kwa kutumia astronomical calculation wanazofanya!!

Hapo chini nilipozungushia blue, ni siku ya Eid mwaka 2029... yaani miaka 9 ijayo, kwamba, kwa kutumia mahesabu yao, mwaka 2029 Eid itakuwa February 14, 2029, kwa maana nyingine mwezi utaonekana February 13.

Watachofanya ni kwamba, ikifika February 12, 2029, wataanza kuutafuta mwezi kwa macho na kwa darubini! Wakiuona, hiyo tarehe itabadilika; wasipouona kwa macho wala darubini, wataendelea kutumia hiyo tarehe waliyoandika hapo!

Msema Kweli ni mpenzi wa Mungu! Nilishawahi kufanya kazi eneo lenye Waislamu wengi na walikuwa wanatumia hiyo The Umm al-Qura Calendar. Kwa miaka 4 niliyokuwa pale, Siku za Eid na kuanza kufunga ziliendana na kalenda ya Saudi Arabia!

But that is another case kwa sababu suala la The Umm al-Qura Calendar au fixed calendar halijatajwa popote kwenye Quran wala Hadith. Na ingawaje mataifa kadhaa ya Ghuba hutumia hiyo kalenda, kuna wengine hawakubaliani na hizo calculations!

Isitoshe, hata hao Saudia walianza kutumia huo mfumo kutokana na maendeleo ya unajimu, na sio kwamba tangu enzi hizo walikuwa wanatumia huo mfumo!
Tuko hapa Kujifunza na pia Kutengeneza Mijadala yenye Tija ili tupate Ufahamu zaidi.

Krav Maga sijaanzisha Mada hii kama Kuwakashifu Wahusika kama ambavyo damn Fool Wewe uwazavyo.

Hivi na wale ambao huwa wanaanzisha Mada hapa za Kuhoji yanayotendeka kwa Wakristo ( hasa Makanisani na Madhabahuni pia ) huwa wanakuwa na Chuki na wenye hiyo Imani?

Tatizo la baadhi yenu hapa mna Upumbavu wa Kurithishwa katika Koo zenu kiasi kwamba Mada ikianzishwa tu mnashindwa kutafuta Logic ndani yake na Kukimbilia katika Upuuzi wenu na kutaka kuleta Hisia za Chuki.

Wenye Akili kubwa na pana nina uhakika wataelewa dhana Kuu na Fikirishi juu ya nilichokihoji na sijaanzisha Mada hii ili kuwakera wenye Imani hiyo na atakayewaza hivyo nae atakuwa ni Juha kama Wewe.
 
ajifunze kujua
Tuko hapa Kujifunza na pia Kutengeneza Mijadala yenye Tija ili tupate Ufahamu zaidi.

Krav Maga sijaanzisha Mada hii kama Kuwakashifu Wahusika kama ambavyo damn Fool Wewe uwazavyo.

Hivi na wale ambao huwa wanaanzisha Mada hapa za Kuhoji yanayotendeka kwa Wakristo ( hasa Makanisani na Madhabahuni pia ) huwa wanakuwa na Chuki na wenye hiyo Imani?

Tatizo la baadhi yenu hapa mna Upumbavu wa Kurithishwa katika Koo zenu kiasi kwamba Mada ikianzishwa tu mnashindwa kutafuta Logic ndani yake na Kukimbilia katika Upuuzi wenu na kutaka kuleta Hisia za Chuki.

Wenye Akili kubwa na pana nina uhakika wataelewa dhana Kuu na Fikirishi juu ya nilichokihoji na sijaanzisha Mada hii ili kuwakera wenye Imani hiyo na atakayewaza hivyo nae atakuwa ni Juha kama Wewe.
 
Naomba kujua Faida na hasara (hasa Kijamii na Kiustawi) za Sherehe ambazo zinajulikana katika Kalenda na zile zinazotegemea Kuandama (Kuchomoza) kwa Mwezi Congo, Kigoma, Mombasa, Tanga, Zanzibar na Mtwara.
Mbona IPO wazi kabisa,huwa wanaweka siku mbili za sikukuu ambazo hazijawahi kuwa tofauti na hizo.
 
Jana watoto wamembiwa leo ni sikukuu, ilipofika saa mbili mufti akasema mwezi haujaandama!!!

Hii kitu inaathari kubwa kisaikolojia hasa kwa watoto..
Nikieleweka na Brainy JF Members wachache kama Wewe Ndugu hapa huwa nafarijika sana ila bahati Uzi umevamiwa na Morons wengi na kubaki Kuwapuuza tu.
 
hivi ikitokea mbalamwezi ukahama kwenye mhimili wake, au ukageuka black hole je waislam watafunga kwa ishara gani
Fantasy ya ajabu. Kalenda inahesabiwa vipi mkuu?Waislamu huwa wanafunga kwa kuonekana kwa mwezi au kuhesabu siku 30.Mwezi ukitoweka(assumption ya kijinga)wewe utakuwa unalipwa mshahara vipi assuming kwamba umeajiriwa?Mwajiri wako atahesabu vipi siku ulizofanya kazi???🤐🤐🤐🤨🤣🤣🤣
 
Haji Manara ongea na mtoa mada huyu, eti watoa mada kama hawa ni kitu gani vile.
Ewe kijana wa Mwamedi mbona povu sana? Au ni shibe ya wali wa manjano??[emoji86]
 
Naomba kujua Faida na hasara (hasa Kijamii na Kiustawi) za Sherehe ambazo zinajulikana katika Kalenda na zile zinazotegemea Kuandama (Kuchomoza) kwa Mwezi Congo, Kigoma, Mombasa, Tanga, Zanzibar na Mtwara.
Hahahahaha yaannunataka kufananisha na tukio la simba vs yanga
 
Back
Top Bottom