Je sheria inasema je juu ya matumizi ya jina la bidhaa ya mtu mwingine

JUKUMU

Member
Joined
Apr 5, 2009
Posts
85
Reaction score
39
Habari wana JF, ninaomba nisaidiwe kujua Taratibu za matumizi ya majina ya vitu au product hapa Tanzania kutoka nje ya nchi.

Kwa mfano kama kuna kinywaji Huko Uganda au Kenya tuseme kinaitwa UDU na kutokana na Soko hicho kinywaji kinauzwa sana, kwa kuona hivyo na mimi nikaamua kuanzisha kinywaji changu kwa jina hilo yaani UDU hapa Tanzania. Je nikosakisheria? au ninawezatu kuendelea kutumia hilo jina kwa kuonezea manjonjo kidogo?
Naomba msaada wenu wa kisheria.

Asanteni.
 
Ni kosa kisheria hasa kama ni registered trademark.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…