Je, sheria inasemaje juu ya mkataba wa ajira ukifikia kikomo chake lakini ukaendelea kifanya kazi mpaka muda wa miezi 3 zaidi?

Mr Smart Money

Senior Member
Joined
May 21, 2018
Posts
106
Reaction score
149
Samahani naomba msaada wa kisheria.

Kama mkataba wangu umefikia kikomo cha muda niliosaini (mwaka 1) na nikaendelea kufanyakazi kwa muda wa miezi 3 pasipo kupewa (kurenew) mkataba mpya, je bado nilikuwa ndani ya mkataba au nilikuwa nafanya kazi pasipo kuwa na mkataba?

Naweza kulipwa chochote kitu kisheria?

NB: Nimeachishwa kazi ndani ya muda huo.

Shukrani[emoji120]
 
Ndani ya miezi mitatu au mmoja (labda) kabla ya mkataba wa awali kuisha mwajiri alipaswa akuambie kama ana nia ya kuongeza mkataba au kukukumbusha mwisho wa mkataba...

Kama hakufanya hivyo na ukaendelea na kazi na akawa ana kulipa na una evidence.... ongea nae vizuri mmalizane au vinginevyo tafuta mwanasheria unayemwamini utengeneze hela....

Samahani kama sijaeleweka, nimepiga mvinyo kidogo
 
Ndio mkuu ni baada ya mkataba niliosaini wa mwaka mmoja kuisha nikaskilizia kama ntasaini mkataba mpya au ntaambiwa kazi basi lakini niliendelea kupiga kazi kma kawa na nikilipwa mshahara kama kawaida mpka muda wa miezi 3 ndipo tukatofautiana kauli wakanipiga chini kihuni tu
 
Mkataba ukifika mwisho unatakiwa renewal sasa hapo kosa la HR na wewe mlitakiwa mkubaliane kama mkataba mpya au mkataba wa temporary(3 contracts).
Kwaiyo mkuu hapo nina haki au sina haki?
Ndio maana nimeomba msaada wa mawazo ya kisheria so kama unafahamu nichane tu ukweli[emoji120]
 
Samahani naomba msaada wa kisheria.

Kama mkataba wangu umefikia kikomo cha muda niliosaini (mwaka 1) na nikaendelea kufanyakazi kwa muda wa miezi 3 pasipo kupewa (kurenew) mkataba mpya, je bado nilikuwa ndani ya mkataba au nilikuwa nafanya kazi pasipo kuwa na mkataba?

Naweza kulipwa chochote kitu kisheria?

NB: Nimeachishwa kazi ndani ya muda huo.

Shukrani[emoji120]
umefanya kazi na hiyo kampuni kwa muda gani?
 
Samahani naomba msaada wa kisheria.

Kama mkataba wangu umefikia kikomo cha muda niliosaini (mwaka 1) na nikaendelea kufanyakazi kwa muda wa miezi 3 pasipo kupewa (kurenew) mkataba mpya, je bado nilikuwa ndani ya mkataba au nilikuwa nafanya kazi pasipo kuwa na mkataba?

Naweza kulipwa chochote kitu kisheria?

NB: Nimeachishwa kazi ndani ya muda huo.

Shukrani[emoji120]
mara nyingi kama mkataba wa mwaka uliopewa umekwisha muda wake,na mwajiri akupa kazi na ukaifanya nje ya muda wa mkataba basi tunasema kuwa CONTRACT WAS RENEWED BY DEFAULT na huwa inabadilika kutoka katika mkataba wa muda maalumu kwenda katika mkataba wa kudumu. ila naomba kujua yafuatayo; 1:barua uliyopewa ya kuachishwa kazi inasemaje?
2:una hati ya malipo ya mshahara (slary slip) ya miezi ya ziada uliyofanya kazi?
3: ulipewa nakala ya mkataba wa ajira iliyoisha muda wake
Kama vitu vyote hivyo unavyokaribu tufanye kazi Boss.
 
Kwaiyo mkuu hapo nina haki au sina haki?
Ndio maana nimeomba msaada wa mawazo ya kisheria so kama unafahamu nichane tu ukweli[emoji120]
Prosperity96
Amekujibu vyema kabisa. Naongezea kama umefukuzwa kazi kwa utovu wa nidhamu au ulifanya kitu kinyume na kazi. Haki yako ni kupewa mshahara wako wa mwisho tu na kuondoka, pia kama kuna karatasi ulipewa wakati unaachishwa kazi nawe uli sign. Inategemea na maelezo yaliomo kwenye karatasi ya termination.
 
mara nyingi kama mkataba wa mwaka uliopewa umekwisha muda wake,na mwajiri akupa kazi na ukaifanya nje ya muda wa mkataba basi tunasema kuwa CONTRACT WAS RENEWED BY DEFAULT na huwa inabadilika kutoka katika mkataba wa muda maalumu kwenda katika mkataba wa kudumu. ila naomba kujua yafuatayo; 1:barua uliyopewa ya kuachishwa kazi inasemaje?
2:una hati ya malipo ya mshahara (slary slip) ya miezi ya ziada uliyofanya kazi?
3: ulipewa nakala ya mkataba wa ajira iliyoisha muda wake
Kama vitu vyote hivyo unavyokaribu tufanye kazi Boss.
1.Hakunipa barua maana alinifukuza kibabe sana

2.Mkataba ninao mkuu

3.Salary slip sina
maana kuelekea mwishoni mwa mkataba mpaka hiyo miezi mitatu (3) ya ziada mwajiri alibadili gia akawa ananipa cash mkononi na kunisainisha paylol ambazo zilikuwa zinabaki ofsini ila tu nina ushahidi wa occurance book (daftari la makabidhiano ya lindo,,, nililipiga picha baadhi ya pages zenye signs zangu pamoja na za supervisor[emoji848]) ..nilikuwa nafanya kazi ya ulinzi kwenye kampuni flani

Vip hapo ntatoboa kweli kwa huo ushahidi
 
Prosperity96
Amekujibu vyema kabisa. Naongezea kama umefukuzwa kazi kwa utovu wa nidhamu au ulifanya kitu kinyume na kazi. Haki yako ni kupewa mshahara wako wa mwisho tu na kuondoka, pia kama kuna karatasi ulipewa wakati unaachishwa kazi nawe uli sign. Inategemea na maelezo yaliomo kwenye karatasi ya termination.
Mkuu wala sikufanya kosa lolote sema tu tulitofautiana kauli na ukizingatia boss ni mbabe sana baada ya kudai deni langu la mishahara ya miezi iliopita ko nikaonekana nataka ligi maana alikuwa ananipiga kalenda mara kibao ndo siku iyo nikadinda ofsini kilichofuata nilifurushwa kama mwizi[emoji16]
Sikupewa barua yoyote wala sikuadika maelezo yotote
 
Pole sana mkuu nakushauri tafuta mwanasheria anae jishuhulisha na sheria za ajira. Akupe ushauri zaidi pia apitie mkataba wako pia inawezekana aka shitaki kwa kosa la uzalilishaji(walipo kufurusha) na kutokupa mkataba mpya juu ya wakati.
 
1.Hakunipa barua maana alinifukuza kibabe sana

2.Mkataba ninao mkuu

3.Salary slip sina
maana kuelekea mwishoni mwa mkataba mpaka hiyo miezi mitatu (3) ya ziada mwajiri alibadili gia akawa ananipa cash mkononi na kunisainisha paylol ambazo zilikuwa zinabaki ofsini ila tu nina ushahidi wa occurance book (daftari la makabidhiano ya lindo,,, nililipiga picha baadhi ya pages zenye signs zangu pamoja na za supervisor[emoji848]) ..nilikuwa nafanya kazi ya ulinzi kwenye kampuni flani

Vip hapo ntatoboa kweli kwa huo ushahidi
unaweza kutoboa lakini kwa shida kidogo
 
Karibu PM tufanye kazi kama uko tayari
 
Samahani naomba msaada wa kisheria.

Kama mkataba wangu umefikia kikomo cha muda niliosaini (mwaka 1) na nikaendelea kufanyakazi kwa muda wa miezi 3 pasipo kupewa (kurenew) mkataba mpya, je bado nilikuwa ndani ya mkataba au nilikuwa nafanya kazi pasipo kuwa na mkataba?

Naweza kulipwa chochote kitu kisheria?

NB: Nimeachishwa kazi ndani ya muda huo.

Shukrani[emoji120]

Ilitokea kwenye taasisi moja, wafanyakazi kama watano hivi walimaliza mikataba yao, na utaratibu uliwataka waandike barua za kurenew mikataba miezi mitatu kabla ya kumaliza, wakafanya hivyo!

Ilipofika mwisho wa mkataba, hawakupewa mikataba mipya wakaendelea na kazi kwa kipindi cha miezi mitatu huku wakilipwa!
Baadae mwajiri akawaandikia barua wajieleze kwa nini wanafanya kazi bila kuwa na mikataba mipya angali walishamaliza!

Wakamjibu mwajiri kwa kuambatanisha copy ya zile barua za kurenew mikataba walizoandika, mwajiri hakuridhika na ule ushahidi, akawaandikia barua za kuwafukuza kazi kwa utendaji mbovu!

Wakamtafuta mwanasheria wakaenda mahakamani, wakashinda!
Mwajiri akawaandikia barua kurudi kazini, wakakataa! Wakadai walipwe, mwajiri akaingia hasara ya mamilion ya pesa!
 
Hapo mze ni ishu ya kucheza na mkataba wako....zaidi utaangalia term inayohusu renewal ya mkataba...
Je, kuna term inayosema kwamba endapo mkataba utakwisha na pande zote mbili zikawa kimya itamaanisha renewal ya mkataba?.
Pia kutokana na maelezo yako,inaonesha impliedly(kwa vitendo) mwajiri kaashiria kuendelea na mkataba kwasababu kama anafahamu kuwa mkataba wako umekwisha hakutakiwa kuendelea kukulipa mshahara. Means kakubali automatic renewal of the contract. Unless otherwise mkataba ulitakiwa uzungumzwe kabla haujafika mwisho.

Hayo ni maoni na ushauri wangu boss.
 
Ilitokea kwenye taasisi moja, wafanyakazi kama watano hivi walimaliza mikataba yao, na utaratibu uliwataka waandike barua za kurenew mikataba miezi mitatu kabla ya kumaliza, wakafanya hivyo!

Ilipofika mwisho wa mkataba, hawakupewa mikataba mipya wakaendelea na kazi kwa kipindi cha miezi mitatu huku wakilipwa!
Baadae mwajiri akawaandikia barua wajieleze kwa nini wanafanya kazi bila kuwa na mikataba mipya angali walishamaliza!

Wakamjibu mwajiri kwa kuambatanisha copy ya zile barua za kurenew mikataba walizoandika, mwajiri hakuridhika na ule ushahidi, akawaandikia barua za kuwafukuza kazi kwa utendaji mbovu!

Wakamtafuta mwanasheria wakaenda mahakamani, wakashinda!
Mwajiri akawaandikia barua kurudi kazini, wakakataa! Wakadai walipwe, mwajiri akaingia hasara ya mamilion ya pesa!
Very similar but slightly different scenario.
 
Back
Top Bottom