Mr Smart Money
Senior Member
- May 21, 2018
- 106
- 149
Samahani naomba msaada wa kisheria.
Kama mkataba wangu umefikia kikomo cha muda niliosaini (mwaka 1) na nikaendelea kufanyakazi kwa muda wa miezi 3 pasipo kupewa (kurenew) mkataba mpya, je bado nilikuwa ndani ya mkataba au nilikuwa nafanya kazi pasipo kuwa na mkataba?
Naweza kulipwa chochote kitu kisheria?
NB: Nimeachishwa kazi ndani ya muda huo.
Shukrani[emoji120]