Je, shetani/ibilisi anatoka koo zipi miongoni mwa koo za majini? Wazazi waliomzaa ni akina nani?

Fake story from fake people from fake book.
Majini you're Ni mashetani yaliyomuasi Mungu na kutupwa chini. Kiongozi wao mkuu ni Shetani aliyeitwa Lucifa hapo awali.
Habari za kuwepo majini mazuri ni kazi ya Shetani.
 

.
 
Sio Biblia tu hata Quran Pamoja Pamoja na vitabu vingi vya kiimani vimeficha vitu vingi sana...
1. History of Jinn and Iblis haijakaa vizuri!
2. Truth about Universe and Adams life!
3. Ugomvi kati ya Sir God na Mzee baba Shetty!
Nb; Heri kuweka personal ideas and arguments kuliko mistari ya kidini.
[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
 
Kweli kabisa.
 
Jamaa ana kichwa kizito sanaaaaaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ inatosha
 
Nilichogundua we jamaa umeandika andika tu ili upate watu wa kubishana nao ila maelekezo ya kukamlika tayari umeshaambiwa ila tu unaleta ubish wa kitoto sana mada haina kichwa wala miguu unataka ulekezwe vipi mbabaa
 
Kwahyo mkuu mtu mwenye majini na yakawa yanamsaidia katika shughuli zake bila kidhuru mtu mwingine kiufupi yanamnufaisha pasipokuwa na madhara yyte,JE KUNA TATIZO LOLOTE???KAMA ILIVYO KWA MFALME SULEIMAN
 

Hapo kwenye namba tano nkurekebishe kidogo wakati tunasubiri wajuzi watujuze hili lakini adamu hakuwa binadamu wa kwanza kuumbwa.
 
πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ yaani vingine ni kucheka tu ! sijui hii story umeitoa wapi? Umelala ukaota hicho ulichoandika,au kuna kitabu umekisoma na nikitabu gani?au umesimuliwa na mtu ? yaani hata hueleweki chanzo cha hii story yako ni nini umejiandikia tu mtu wa watu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…