Je, shetani/ibilisi anatoka koo zipi miongoni mwa koo za majini? Wazazi waliomzaa ni akina nani?

[emoji23] [emoji23] [emoji23] kwamba ibilisi alikua dogo,Mungu hakutaka kuonekana dikteta
 
IBILISI SIYO JINI ILA ASILI YAKE NI UJININI....HANA MAFUNGAMANO TENA NA FAMILIA ZA MAJINI BAADA YA KUASI KWAKE YAN YY ANAJITEGEMEA NA MATAMANIO YAKE NI KUVUNA WAKWENDA NAO MOTONI...NAO MAJINI WANATAKIWA WAEPUKANE NA FITNA ZAKE....MAJINI HAWAJALAANIWA ILA ALIYELAANIWA NI JINI MWENZAO AMBAYE NDIO AKATENGWA NA KUITWA IBILISI
 
Ibilisi sio jini tena ,mbona unajikanyaga kanyaga sana [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Kama Ibilisi sio jini wala malaika wala binadamu je kiumbe gani?
 


Mkuu mimi kwa mujib wa Biblia, Shetani alikua ni malaika aliyeongoza kitengo cha sifa, inasemekana alitaka yeye aabudiwe badala ya Mungu, hapo ndio alipigwa chini akashushwa chini lakini aliondoka na theluthi ya malaika. Hiyo ni kwa mujibu wa Biblia. Inamaana asili yake ni kama ya malaika wengine isipokuwa yeye aliasi akatupwa duniani. Ni hayo tu kwa uchache.
 
Kuna koo moja inaitwa CCM ndio anatokea humo I think
Mtu mzima kuongea au kutenda mambo kama ya utoto kuna dhihirisha ni kwa kiasi gani kichwani kwake kumejaa funza pia ni dalili tosha kwamba alipokuwa mdogo hakunyonya vizuri.
 
Kwani wewe unaelewa nini kuhusu asili ya ibilisi?
Anyway nimekuuliza chanzo chako ulichotumia kumuwakilisha ibilisi umekitoa wapi?

Lkn umeuliza swali bila kujibu swali. Mm binafsi nimetambua uwepo Wa ibilisi sababu ya kuamini uwepo Wa Mungu kupitia mafundisho ya Biblia.

Hivyo Biblia inamfafanua ibilisi kupitia mafungu haya.
Mwanzo 3:1-16,Isaya 14:12-15, Ezekiel 28 :12-19, Matayo 4:1-11
 
Ibilisi sio jini tena ,mbona unajikanyaga kanyaga sana [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Kama Ibilisi sio jini wala malaika wala binadamu je kiumbe gani?
Bila shaka aliteleza maana ibilisi anasema kaumbwa na moto kwa hiyo ni hakika alikuwa jini
 
Ibilisi sio jini tena ,mbona unajikanyaga kanyaga sana [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Kama Ibilisi sio jini wala malaika wala binadamu je kiumbe gani?
MKUUU IBILISI SIYO JINI ILA ASILI YAKE NI UJININI...KATOKA KWENYE UJINI NA KUWA IBILISI BAADA YA KUASI....SIJASEMA MAHALA POPOTE KUWA IBILISI NI JINI ILA IBILISI/SHETANI ASILI YAKE YA JINI...KWAHERI NITAJIBU LINGINE LITAKALO KWA WADAU SI KWAKO TENA MANA HUENDA UNAULIZA UKIWA NA MAJIBU YAKO KICHWANI
 
Kwa hiyo Ibilisi ni nani? Kama sio jini wala malaika?
 
Kwa hiyo Ibilisi ni nani? Kama sio jini wala malaika?
IBILISI NDIO SHETANI SIYO MALAIKA MANA MALAIKA HAWAJAWAHI KUMUASI MUUMBA....ASILI YAKE NI UJININI ILA KATOLEWA HUKO NA KUWA SHETANI ANAYEJITEGEMEA....HANA NDUGU WA JAMAA ILA UKIMFUATA NDIO ANAKUWA RAFIKI WAKO KINAFKI ILA YEYE NI ADUI KWA MWANADAM NA MAJINI
 
Naweka kumbukumbu sawa hapa
1.IBILISI ni jina la huyo jini alieasi
2.SHETANI ni sifa ya uovu (IBILISI akiasi anakuwa na sifa ya ushetani kwa hiyo anakuwa SHETANI)
3.SHETANI ni uovu anaweza BINADAMU au JINI
hayo maswali yenu mengine naendelea kusoma majibu ya wadau
 
Mkuu huyu jamaa nimeona nimuache tu maana hajui anachokiongea, fuatilia hata majibu yake mengine huko juu .
 
Mkuu huyu jamaa nimeona nimuache tu maana hajui anachokiongea, fuatilia hata majibu yake mengine huko juu .
DAH......KUNA KITU KIMOJA....HAKUNA ALIYE KUJANA KUPINGA KWAMBA HAJAELEWA NINACHOANDIKA......UKWELI NI KWAMBA SIWEZI KUKULAZIMISHA UNIELEWE ILA NAOMBA APATIKANE UTAKAYE MWELEWA...HUENDA NAJUA ILA NIKAWA NAKOSEA KTK UFIKISHAJI.....AU NAFIKISHA TATIZO LIKAWA KWA MPOKEAJI SO LOLOTE LAWEZA KUWA SINA GUARANTEE YA WEWE KUNIELEWA ILA NAAMINI WAPO WALIONIELEWA
 
Mkuu, kuna elimu nyengine au maarifa mengine ukiwa nayo hayana manufaa na usipokuwa nayo hayadhuru kwa kuonekana mjinga.

Kwa hiyo, kujua jini ibilisi asili ya wazazi wake, koo yake ni elimu isiyokuwa na manufaa na kutojua asili ya wazazi wake au ukoo ni ujinga usiyodhuru.

Samahani kama nitakukwaza kwa majibu yangu.
 
Kwa hiyo?
 
Na ibilisi alikuwa na nickname nyingi kama Aza'a zil, Abaa sijda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…