Sigara Kali
JF-Expert Member
- May 28, 2017
- 3,623
- 8,442
[emoji23] [emoji23] [emoji23] kwamba ibilisi alikua dogo,Mungu hakutaka kuonekana dikteta
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio.[emoji23] [emoji23] [emoji23] kwamba ibilisi alikua dogo,Mungu hakutaka kuonekana dikteta
IBILISI SIYO JINI ILA ASILI YAKE NI UJININI....HANA MAFUNGAMANO TENA NA FAMILIA ZA MAJINI BAADA YA KUASI KWAKE YAN YY ANAJITEGEMEA NA MATAMANIO YAKE NI KUVUNA WAKWENDA NAO MOTONI...NAO MAJINI WANATAKIWA WAEPUKANE NA FITNA ZAKE....MAJINI HAWAJALAANIWA ILA ALIYELAANIWA NI JINI MWENZAO AMBAYE NDIO AKATENGWA NA KUITWA IBILISIKwa nini umesema Ibilisi hazaliani bali anawafuasi tu wanaomtii?
Kama ikiwa Ibilisi ni jini kama majini wengine kwa nini yeye asizaliane? Je hana kizazi wala jinsia?
Sisi binadamu asili yetu ni baba yetu Adamu ndio maana alipolaaniwa yeye basi vizazi vyake vyote (binadamu) tumelaaniwa mpaka tutubu ndipo Mungu ataturudisha tena peponi ,kama ingekuwa ni dhambi ya Adamu pekee basi binadamu wengine waliofuatia baada ya Adamu tukiweml mimi na wewe na sisi tungeishi peponi moja kwa moja kabla ya kuletwa duniani kama ingetokea tumeasi , lakini kitendo cha kuletwa huku duniani moja kwa moja inaonesha Mungu anataka tutubu ndipo aturudishe kule alipokusudia kutuweka hapo awali.
Sasa mantiki ya kukuuliza asili ya Ibilisi ni ipi ni kwamba nilitaka kujua kama majini wote wenye asili kama yake wamelaaniwa kama yeye au laah kuna wengine kutoka katika asili yake wametubu na kuwa waja wema.
Ibilisi sio jini tena ,mbona unajikanyaga kanyaga sana [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]IBILISI SIYO JINI ILA ASILI YAKE NI UJININI....HANA MAFUNGAMANO TENA NA FAMILIA ZA MAJINI BAADA YA KUASI KWAKE YAN YY ANAJITEGEMEA NA MATAMANIO YAKE NI KUVUNA WAKWENDA NAO MOTONI...NAO MAJINI WANATAKIWA WAEPUKANE NA FITNA ZAKE....MAJINI HAWAJALAANIWA ILA ALIYELAANIWA NI JINI MWENZAO AMBAYE NDIO AKATENGWA NA KUITWA IBILISI
Mtu mzima kuongea au kutenda mambo kama ya utoto kuna dhihirisha ni kwa kiasi gani kichwani kwake kumejaa funza pia ni dalili tosha kwamba alipokuwa mdogo hakunyonya vizuri.Kuna koo moja inaitwa CCM ndio anatokea humo I think
Ahahaaaahaha mkuu hapo kwenye kunyonya ni hatarMtu mzima kuongea au kutenda mambo kama ya utoto kuna dhihirisha ni kwa kiasi gani kichwani kwake kumejaa funza pia ni dalili tosha kwamba alipokuwa mdogo hakunyonya vizuri.
Anyway nimekuuliza chanzo chako ulichotumia kumuwakilisha ibilisi umekitoa wapi?Kwani wewe unaelewa nini kuhusu asili ya ibilisi?
Bila shaka aliteleza maana ibilisi anasema kaumbwa na moto kwa hiyo ni hakika alikuwa jiniIbilisi sio jini tena ,mbona unajikanyaga kanyaga sana [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kama Ibilisi sio jini wala malaika wala binadamu je kiumbe gani?
MKUUU IBILISI SIYO JINI ILA ASILI YAKE NI UJININI...KATOKA KWENYE UJINI NA KUWA IBILISI BAADA YA KUASI....SIJASEMA MAHALA POPOTE KUWA IBILISI NI JINI ILA IBILISI/SHETANI ASILI YAKE YA JINI...KWAHERI NITAJIBU LINGINE LITAKALO KWA WADAU SI KWAKO TENA MANA HUENDA UNAULIZA UKIWA NA MAJIBU YAKO KICHWANIIbilisi sio jini tena ,mbona unajikanyaga kanyaga sana [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kama Ibilisi sio jini wala malaika wala binadamu je kiumbe gani?
Kwa hiyo Ibilisi ni nani? Kama sio jini wala malaika?MKUUU IBILISI SIYO JINI ILA ASILI YAKE NI UJININI...KATOKA KWENYE UJINI NA KUWA IBILISI BAADA YA KUASI....SIJASEMA MAHALA POPOTE KUWA IBILISI NI JINI ILA IBILISI/SHETANI ASILI YAKE YA JINI...KWAHERI NITAJIBU LINGINE LITAKALO KWA WADAU SI KWAKO TENA MANA HUENDA UNAULIZA UKIWA NA MAJIBU YAKO KICHWANI
IBILISI NDIO SHETANI SIYO MALAIKA MANA MALAIKA HAWAJAWAHI KUMUASI MUUMBA....ASILI YAKE NI UJININI ILA KATOLEWA HUKO NA KUWA SHETANI ANAYEJITEGEMEA....HANA NDUGU WA JAMAA ILA UKIMFUATA NDIO ANAKUWA RAFIKI WAKO KINAFKI ILA YEYE NI ADUI KWA MWANADAM NA MAJINIKwa hiyo Ibilisi ni nani? Kama sio jini wala malaika?
Naweka kumbukumbu sawa hapaIBILISI NDIO SHETANI SIYO MALAIKA MANA MALAIKA HAWAJAWAHI KUMUASI MUUMBA....ASILI YAKE NI UJININI ILA KATOLEWA HUKO NA KUWA SHETANI ANAYEJITEGEMEA....HANA NDUGU WA JAMAA ILA UKIMFUATA NDIO ANAKUWA RAFIKI WAKO KINAFKI ILA YEYE NI ADUI KWA MWANADAM NA MAJINI
Mkuu huyu jamaa nimeona nimuache tu maana hajui anachokiongea, fuatilia hata majibu yake mengine huko juu .Naweka kumbukumbu sawa hapa
1.IBILISI ni jina la huyo jini alieasi
2.SHETANI ni sifa ya uovu (IBILISI akiasi anakuwa na sifa ya ushetani kwa hiyo anakuwa SHETANI)
3.SHETANI ni uovu anaweza BINADAMU au JINI
hayo maswali yenu mengine naendelea kusoma majibu ya wadau
MKUU UYO AMEELEWA WEWE NDIO HUJAELEWA NAAFIKI ALICHO NUKUUMkuu huyu jamaa nimeona nimuache tu maana hajui anachokiongea, fuatilia hata majibu yake mengine huko juu .
DAH......KUNA KITU KIMOJA....HAKUNA ALIYE KUJANA KUPINGA KWAMBA HAJAELEWA NINACHOANDIKA......UKWELI NI KWAMBA SIWEZI KUKULAZIMISHA UNIELEWE ILA NAOMBA APATIKANE UTAKAYE MWELEWA...HUENDA NAJUA ILA NIKAWA NAKOSEA KTK UFIKISHAJI.....AU NAFIKISHA TATIZO LIKAWA KWA MPOKEAJI SO LOLOTE LAWEZA KUWA SINA GUARANTEE YA WEWE KUNIELEWA ILA NAAMINI WAPO WALIONIELEWAMkuu huyu jamaa nimeona nimuache tu maana hajui anachokiongea, fuatilia hata majibu yake mengine huko juu .
Mkuu, kuna elimu nyengine au maarifa mengine ukiwa nayo hayana manufaa na usipokuwa nayo hayadhuru kwa kuonekana mjinga.Kama inavyojulikana ibilisi alikuws ni jini miongoni mwa kundi la malaika,na kwa kuwa majini yanasifa ya kuzaliana basi bila shaka ibilisi na yeye alikuwa na wazazi na ndugu pia, na kama inavyojulikana majini yapo ya aina mbalimbali na koo pia sasa je ibilisi anatokea ukoo upi wa ujinini?,wazazi wake majina yao ni nani na nani, vipi kuhusu ndugu zake ni akina nani na nani?
Nani alikuwa jini wa kwanza kuumbwa?Je na wao lilitokea tukio la Adamu na Hawa kule Eden? Historia yao ilikuwaje mpaka wakaletwa duniani na kuzaliana?Je inafanana fanana na baba yetu Adamu??
Historia inaonesha kwamba mara baada ya majini kumuasi Mungu kupindukia ,malaika walitumwa na Mungu kwenda kuangamiza mji wao(Kama walivyoangamiza miji mingine e.g Sodoma na Gomora),na waliwaangamiza majini yote kasoro mmoja ambaye ndiye huyu Ibilisi, Ibilisi kipindi hicho alikuwa mdogo sana hivyo malaika walimuonea huruma kumuangamiza hivyo waliamua kwenda naye mbinguni,lakini Mungu aliwatadharisha sana juu ya Ibilisi kwamba ndiye kiumbe kitakacholeta maafa makubwa siku za mbeleni lakini malaika walimuomba sana Mungu awaruhusu wakae naye , Mungu alowakubalia ili asionekane dikteta na mtesaji kama ambavyo Ibilisi alikuwa akiwaaminisha hivyo baadhi ya malaika.
Kwa hiyo mpaka hatua hii inaonesha si kweli kwamba bifu la Ibilisi na Mungu lilianzia pale Ibilisi alipokataa kumsujudia Adamu kwa kudai yeye ni bora zaidi kwa kuwa kaumbwa kwa moto tofauti na Adamu aliyeumbwa kwa udongo, inaonesha Ibilisi bado alikuwa na hasira na kinyongo kwa kutenganishwa/kuuliwa kwa ndugu zake na hao malaika kwa amri kutoka kwa Mwenyezi Mungu.
Sasa linakuja ,je baada ya Ibilisi kufukuzwa mbinguni uzao wake ulianzaje anzaje???Au je Ibilisi ndiye huyu Samael ambaye inasemekana ndiye aliyemchukua Lilith kutoka kwa Adamu na kuzaliana naye????
Kwa hiyo?Mkuu, kuna elimu nyengine au maarifa mengine ukiwa nayo hayana manufaa na usipokuwa nayo hayadhuru kwa kuonekana mjinga.
Kwa hiyo, kujua jini ibilisi asili ya wazazi wake, koo yake ni elimu isiyokuwa na manufaa na kutojua asili ya wazazi wake au ukoo ni ujinga usiyodhuru.
Samahani kama nitakukwaza kwa majibu yangu.
Na ibilisi alikuwa na nickname nyingi kama Aza'a zil, Abaa sijdaNaweka kumbukumbu sawa hapa
1.IBILISI ni jina la huyo jini alieasi
2.SHETANI ni sifa ya uovu (IBILISI akiasi anakuwa na sifa ya ushetani kwa hiyo anakuwa SHETANI)
3.SHETANI ni uovu anaweza BINADAMU au JINI
hayo maswali yenu mengine naendelea kusoma majibu ya wadau