Je, shetani/ibilisi anatoka koo zipi miongoni mwa koo za majini? Wazazi waliomzaa ni akina nani?

Nasema tena mkimaliza kudanganyana mlete sadaka hapa

wakati ukuta.
 
We pimbi, hivi kile kitufe cha kubadilisha herufi kubwa kwenda lower case hukioni?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtoa posti, unataka nambia Malaika wanajua nan mwema na nan mbaya kama ajuavyo mungu? Kigezo kipi malaika walitumia kujua kuwa Ibliss alikuwa msafi na asie na dhambi? kweli malaika walipopewa amri ya kuangamiza walipofika battle field wakaanza kujiamlia kuwa huyu tumuache bila amri ya Mungu? Maana malaika hawatendi ila kwa amri ya mungu. Na 2natofautiana na ss hapo.
 
we unajua koo zipi za majini? Tuanzie hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna kitu km hicho,hizo ni stori zilitungwa na binadamu wajanja ili waweze kutawala wengine,na ndo lengo hasa la dini,maana ndo zimekuja na hizi stori za Mungu mmoja,malaika na majini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Si vibaya ni vizuri sanaa.
ila ukimuwaza Sana mungu unaweza ukawa chizi.kuna siku nilishawahi kujiuliza hivi mungu ametokea wapi? kabla yake yeye kulikuwa na nani?mjombaa.nilianza kuogopa.
Mkuu ilishawahi kunitokea nakumbuka kpndi ninamiaka kama 11 hv nilishawahi kuketi peke yangu sehemu tulivu kujiuliza maswali kama hayo basi nikajikuta kama akili inaruka nataka kuchanganyikiwa mpaka leo sitaki jaribu mchezo huo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…