Mtoto wa nzi
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 10,017
- 18,537
huwezi jua anatafuta ndugu zakeAdam ananihusu sababu ndiyo chimbuko langu. Wewe kutaka kujua asili ya ibilisi ni nini? Au ni chimbuko lako??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
huwezi jua anatafuta ndugu zakeAdam ananihusu sababu ndiyo chimbuko langu. Wewe kutaka kujua asili ya ibilisi ni nini? Au ni chimbuko lako??
We pimbi, hivi kile kitufe cha kubadilisha herufi kubwa kwenda lower case hukioni?MKUU NINAELEWA NINACHOKIZUNGUMZA LABDA WEWE NDIO UELEWI NINACHO KUAMBIA
ACHA JIBU ILI LIWE LA MWISHO BAADA YA HILI SITAKUWA NA NYONGEZA ELIMU YANGU ITAKUWA NDIO UKOMO WAKE
MUNGU ALIWAUMBA MAJINI KUTOKA NA NDIMI ZA MOTO YANI ME NA KE NAO WAKAZALIANA....KTK HAO MAJINI KUNA WALIOKUWA WAASI NA WACHAMUNGU...JINI MIONGONI MWA HAO WACHAMUNGU ALIKUWA NI IBILISI NAE ALIISHI MBINGUNI PAMOJA NA MALAIKA (ALIPEWA CHEO ICHO KUTOKANA NA UCHA MUNGU WAKE MANA ALIWEZA KUSUJUDU KTK ARDHI YOTE YA DUNIA YANI KILA UNAPOGUSA ARDHI YEYE ALISHAWEKAGA PAJI LA USO(SIJDA).....KWAMBA IBILISI ALIZALIWA KATIKA MAJINI ILA KWAMBA WAZAZI NI NANI NA NANI ILO SIYO SWALI LA MSINGI NI SAWA NA KUUZA FIMBO YA MUSSA ILIKUWA NI YA MTI GANI MPINGO AU MSONOBARI AU KUULIZA TUNDA ALILOKUWA ADAM NI PEAS AU CHUNGWA ILA KIFUPI IBILISI ALIZALIWA KATIKA MAJINI NA MAJINI ASILI YAO NI MOTO....MAJINI YANAZALIANA NA KUFA ILA IBILISI ATAISHI MPAKA KIAMA,IBILISI YEYE HAZALIANI BALI ANA WAFUASI WANAOMTII NA KUMFUATA.....
MKUU ULIZA MWASWALI YA MSINGI MANA SITAKUSHANGAA KUJA KUULIZA NA BIRTHDAY YA IBILISI ILIKUWA LINI.....MAJINI YALIYOANGAMIZWA NI YALE MAASI WEMA WALIISHI NA KIZAZI CHAO NDIO ICHIKAMA KIZAZI CHA ADAM KILIVYO ANGAMIZWA ZAMA ZA NUHU.....NARUHUSU KUKOSOLEWA
NA ALLAH ANAJUA ZAIDI
Kwa hyo alikuwa anaishi mbinguni na sijida zakawa zinafanyika duniani? Alafu dunia hii kubwa sana tuache mambo haya ya matangoporiWe pimbi, hivi kile kitufe cha kubadilisha herufi kubwa kwenda lower case hukioni?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mada kama hizi ndo zinadhihirisha kwamba Waafrika tuna Extraordinary Low IQ
Sent using Jamii Forums mobile app
Bora useme wewe mkuu.Basi ni mada kama zipi zinazodhihirisha wasio Waafrika wanazo extraordinary high IQ ??
Thibitisha.
we unajua koo zipi za majini? Tuanzie hapoKwani wewe unavyojua ibilisi historia yake ikoje?? Au unabisha bisha hovyo vitu usivyovijua?
Ibilisi ni jini ambaye alikuwa akiishi na malaika
sasa maswali yangu ndio nikayapanga kama ifuatavyo
1)Wazazi wake ni nani na nani?
2)Ndugu zake ni akina nani?
3)Anatokea katika aina/koo ipi ya majini?
4)Uzao wake ulianzaje anzaje?
5)Kama ikiwa binadamu wa kwanza kuumbwa alikuwa Adamu, je jini wa kwanza kuumbwa ni nani?
Hakuna kitu km hicho,hizo ni stori zilitungwa na binadamu wajanja ili waweze kutawala wengine,na ndo lengo hasa la dini,maana ndo zimekuja na hizi stori za Mungu mmoja,malaika na majini.Kama inavyojulikana ibilisi alikuws ni jini miongoni mwa kundi la malaika,na kwa kuwa majini yanasifa ya kuzaliana basi bila shaka ibilisi na yeye alikuwa na wazazi na ndugu pia, na kama inavyojulikana majini yapo ya aina mbalimbali na koo pia sasa je ibilisi anatokea ukoo upi wa ujinini?,wazazi wake majina yao ni nani na nani, vipi kuhusu ndugu zake ni akina nani na nani?
Nani alikuwa jini wa kwanza kuumbwa?Je na wao lilitokea tukio la Adamu na Hawa kule Eden? Historia yao ilikuwaje mpaka wakaletwa duniani na kuzaliana?Je inafanana fanana na baba yetu Adamu??
Historia inaonesha kwamba mara baada ya majini kumuasi Mungu kupindukia ,malaika walitumwa na Mungu kwenda kuangamiza mji wao(Kama walivyoangamiza miji mingine e.g Sodoma na Gomora),na waliwaangamiza majini yote kasoro mmoja ambaye ndiye huyu Ibilisi, Ibilisi kipindi hicho alikuwa mdogo sana hivyo malaika walimuonea huruma kumuangamiza hivyo waliamua kwenda naye mbinguni,lakini Mungu aliwatadharisha sana juu ya Ibilisi kwamba ndiye kiumbe kitakacholeta maafa makubwa siku za mbeleni lakini malaika walimuomba sana Mungu awaruhusu wakae naye , Mungu alowakubalia ili asionekane dikteta na mtesaji kama ambavyo Ibilisi alikuwa akiwaaminisha hivyo baadhi ya malaika.
Kwa hiyo mpaka hatua hii inaonesha si kweli kwamba bifu la Ibilisi na Mungu lilianzia pale Ibilisi alipokataa kumsujudia Adamu kwa kudai yeye ni bora zaidi kwa kuwa kaumbwa kwa moto tofauti na Adamu aliyeumbwa kwa udongo, inaonesha Ibilisi bado alikuwa na hasira na kinyongo kwa kutenganishwa/kuuliwa kwa ndugu zake na hao malaika kwa amri kutoka kwa Mwenyezi Mungu.
Sasa linakuja ,je baada ya Ibilisi kufukuzwa mbinguni uzao wake ulianzaje anzaje???Au je Ibilisi ndiye huyu Samael ambaye inasemekana ndiye aliyemchukua Lilith kutoka kwa Adamu na kuzaliana naye????
Hakuna kitu km hicho,hizo ni stori zilitungwa na binadamu wajanja ili waweze kutawala wengine,na ndo lengo hasa la dini,maana ndo zimekuja na hizi stori za Mungu mmoja,malaika na majini.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa nini?Atakuwa si miongoni mwa makabila ya Kanda ya ziwa
Soma Qur'an
SawaMara ya.mwisho shetani.nmemuona bungen dodoma anasitisha mshahara
Mkuu ilishawahi kunitokea nakumbuka kpndi ninamiaka kama 11 hv nilishawahi kuketi peke yangu sehemu tulivu kujiuliza maswali kama hayo basi nikajikuta kama akili inaruka nataka kuchanganyikiwa mpaka leo sitaki jaribu mchezo huoSi vibaya ni vizuri sanaa.
ila ukimuwaza Sana mungu unaweza ukawa chizi.kuna siku nilishawahi kujiuliza hivi mungu ametokea wapi? kabla yake yeye kulikuwa na nani?mjombaa.nilianza kuogopa.