Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nakubali kabisa ila jina lake halisi ni ibilisiNa ibilisi alikuwa na nickname nyingi kama Aza'a zil, Abaa sijda
Ukijua wazazi wa ibilisi itakusaidia nini? Au usipojua wazazi wake itakusaidia nini?Kwa hiyo?
Tuanzie hapa, wewe kumjua binadamu wa kwanza ni Adamu imekusaidia nini?Ukijua wazazi wa ibilisi itakusaidia nini? Au usipojua wazazi wake itakusaidia nini?
Kwa kifupi kuna koo 70 za majinni. Koo 7 zinazomuhusudu Mungu na Koo 7 hazimuhusudu Mungu zimepitiliza kwenye ushetani mpaka Majinni wenzao wanawaogopa. Kumbuka nabii Suleyman a.s alipomuomba Mungu amuoneshe Majinni wote katika maumbile yao ya asili. Malaika Jibril a.s akashuka kutoka Mbinguni na kumtaarifu Suleyman katika sijda aliyokuwa akimuomba Mungu akisali. Kwamba Mungu amemkubalia dua yake, Malaika Jibril a.s akatoa wito wa sauti kali Kuwaita majini wote waje mbele ya nabii Suleyman. Majinni wote walalifika huku Malaika wengine wakiwachunga mithili ya mchungaji anavyowachunga mifugo yake.......
Kuhusu majini ni kweli wao ni viumbe wa mwanzo kuishi kwenye huu ulimwengu kabla ya binadamu. Ukielewa hivyo inatosha, tosheka na hayo. Na ukitaka kujua kwa nini jeshi la malaika walimuomba Mungu wamchukue ibilisi unajua sababu? Unajua kwa nini alikuwa anaitwa Abaa sijda? Na kukataa kumsujudia Adam ni mwingi wa kujiona mkubwa. Rejelea aya katika Suratul Baqarah inayoelezea ibilisi alipokataa kusujudu inasema "ILLA IBILIISA ABAA WASTAKBAR, WAKANA MINAL KAAFIIRIN. Na kama sijakosea rejelea katika suratul Twaha Mungu alipomuuliza " Kipi kilichokuzuia kutii amri yangu pindi nilipo kuamrisha? Ibilisi alijibu KHALTANII MIN'NARIIN WAKHALTAHU MIN TWIIN" hapo ndipo lilipo jibu LA swali lako la ibilisi kukataa kumsujudia nabii Adam.
Alimwambia Mungu kati ya hilo dongo(mchanga) ambaye ni binadam na Mimi uliyeniumba na moto ni ipi malighafi yenye thamani? Alikisia na alikosea kwa sababu ya Kiburi chake akalaaniwa.
Adam ananihusu sababu ndiyo chimbuko langu. Wewe kutaka kujua asili ya ibilisi ni nini? Au ni chimbuko lako??Tuanzie hapa, wewe kumjua binadamu wa kwanza ni Adamu imekusaidia nini?
Kumjua Ibilisi kaumbwa kwa moto imekusaidia nini?Adam ananihusu sababu ndiyo chimbuko langu. Wewe kutaka kujua asili ya ibilisi ni nini? Au ni chimbuko lako??
Wewe mafundisho haya umeyapata wapi mbona yanapoteza uhalisia kabisaKama inavyojulikana ibilisi alikuws ni jini miongoni mwa kundi la malaika,na kwa kuwa majini yanasifa ya kuzaliana basi bila shaka ibilisi na yeye alikuwa na wazazi na ndugu pia, na kama inavyojulikana majini yapo ya aina mbalimbali na koo pia sasa je ibilisi anatokea ukoo upi wa ujinini?,wazazi wake majina yao ni nani na nani, vipi kuhusu ndugu zake ni akina nani na nani?
Nani alikuwa jini wa kwanza kuumbwa?Je na wao lilitokea tukio la Adamu na Hawa kule Eden? Historia yao ilikuwaje mpaka wakaletwa duniani na kuzaliana?Je inafanana fanana na baba yetu Adamu??
Historia inaonesha kwamba mara baada ya majini kumuasi Mungu kupindukia ,malaika walitumwa na Mungu kwenda kuangamiza mji wao(Kama walivyoangamiza miji mingine e.g Sodoma na Gomora),na waliwaangamiza majini yote kasoro mmoja ambaye ndiye huyu Ibilisi, Ibilisi kipindi hicho alikuwa mdogo sana hivyo malaika walimuonea huruma kumuangamiza hivyo waliamua kwenda naye mbinguni,lakini Mungu aliwatadharisha sana juu ya Ibilisi kwamba ndiye kiumbe kitakacholeta maafa makubwa siku za mbeleni lakini malaika walimuomba sana Mungu awaruhusu wakae naye , Mungu alowakubalia ili asionekane dikteta na mtesaji kama ambavyo Ibilisi alikuwa akiwaaminisha hivyo baadhi ya malaika.
Kwa hiyo mpaka hatua hii inaonesha si kweli kwamba bifu la Ibilisi na Mungu lilianzia pale Ibilisi alipokataa kumsujudia Adamu kwa kudai yeye ni bora zaidi kwa kuwa kaumbwa kwa moto tofauti na Adamu aliyeumbwa kwa udongo, inaonesha Ibilisi bado alikuwa na hasira na kinyongo kwa kutenganishwa/kuuliwa kwa ndugu zake na hao malaika kwa amri kutoka kwa Mwenyezi Mungu.
Sasa linakuja ,je baada ya Ibilisi kufukuzwa mbinguni uzao wake ulianzaje anzaje???Au je Ibilisi ndiye huyu Samael ambaye inasemekana ndiye aliyemchukua Lilith kutoka kwa Adamu na kuzaliana naye????
Hivi Mzee baba sasa mapepo yanayowavamia watu wao wqpo kundi ganiIBILISI NDIO SHETANI SIYO MALAIKA MANA MALAIKA HAWAJAWAHI KUMUASI MUUMBA....ASILI YAKE NI UJININI ILA KATOLEWA HUKO NA KUWA SHETANI ANAYEJITEGEMEA....HANA NDUGU WA JAMAA ILA UKIMFUATA NDIO ANAKUWA RAFIKI WAKO KINAFKI ILA YEYE NI ADUI KWA MWANADAM NA MAJINI
Eleza unacho kifahamu acha kutoa shutuma bila hoja za msingiWewe mafundisho haya umeyapata wapi mbona yanapoteza uhalisia kabisa
Hilo swali ni Sawa na kuuliza unaishi Tanzania au Dar nadhani Dar ipo ndani ya Tanzania so hapo utajua Kipi ni Dar na Kipi ni Tanzania sijui utakuwa umenipata kidogoTuanzie hapa, una amini katika msahafu au biblia?
ni majini yanayovamia watu hilo ni kosa kwaiyo wanaingia kwenye kundi la mashetaniHivi Mzee baba sasa mapepo yanayowavamia watu wao wqpo kundi gani
Sasa ibilisi nae anavamia watuni majini yanayovamia watu hilo ni kosa kwaiyo wanaingia kwenye kundi la mashetani
Hakuna nachokifahamu katika Hilo ila kwa hayo mafundisho kama ndo ningekuwa nafundishwa Mimi yasingeniingia akilini hata kidogoEleza unacho kifahamu acha kutoa shutuma bila hoja za msingi
Una mapungufu ya taaluma ya kuelewa maana.Kumjua Ibilisi kaumbwa kwa moto imekusaidia nini?
hakuna kisicho ingia akilini labda kama ujatakaHakuna nachokifahamu katika Hilo ila kwa hayo mafundisho kama ndo ningekuwa nafundishwa Mimi yasingeniingia akilini hata kidogo
Vipo vingi tu unajua vitu vinaingia akilini kirahisi kama hutahoji ila ukianza kuhoji utaona kaugum flan hv katika kukubali kila jambo hata kama baba ako ndo kasemahakuna kisicho ingia akilini labda kama ujataka
Ndio maana kuna Grade tunapima uelewa ni juu lako kung'amua mambo upate Grade bora zaidiVipo vingi tu unajua vitu vinaingia akilini kirahisi kama hutahoji ila ukianza kuhoji utaona kaugum flan hv katika kukubali kila jambo hata kama baba ako ndo kasema