Mc cane
JF-Expert Member
- May 18, 2018
- 5,570
- 10,517
Nachojua huwezi kujenga nyumba ya kisasa kwa milioni kumi za kitanzania. Hilo shimo la choo tu linalamba theluthi nzima ya hiyo pesa... Hapo kilichobaki tofali, mabati, cement, nondo,kokoto na mbao... tayari hela ishaisha.
Duh... Shimo M 3.3 kweli hilo litakuwa handaki, shimo haliwezi kuvuka M 1.5
kwa maelezo yake anataka nyumba ambayo wajukuu na wageni wawili watatu watamtembelea mama (minimum vyumba 3, sebule)
Angeongeza M , jumla ziwe M 15 angeweza kutimiza lengo lake
Lakini kwa m 10 anaweza kujenga nyumba ambayo itaingilika lakini itakuwa haijamalizika kabisa