Quavohucho
JF-Expert Member
- Aug 30, 2020
- 798
- 2,028
Kwa wale mliowahi kufika na kuishi na mnaoishi South africa, Je sio kosa kuwa na mahusiano ya kimapenzi na mwanafunzi kama ilivyo Tz (30years jail),
Binti mmoja (minenhle) ambaye ni social media influencers SA, ameshea clip akionesha zawadi iphone 15 aliyopewa kwa kutimiza miaka 4 ya mahusiano na jamaa ambae ni pastor (40years)
Binti huyo saizi ana miaka 17 maana alianza mahusiano akiwa na 13 yrs
Hivi Hmna kosa kisheria au huko ni fresh tu kula pisi za shule??? Na ukizingatia wote hao ni maarufu Huko kwa madiba