Je, sifa anazopewa Kafulila zina ukweli wowote?

Sasa wewe ukimtazama Kafulila machoni unaamini siyo mwizi kweli? Mtu mwenyewe yule hata uaminifu kwenye ndoa ulimshinda, atakuwa mwaminifu kwenye mali ya umma?
 
Sasa wewe ukimtazama Kafulila machoni unaamini siyo mwizi kweli? Mtu mwenyewe yule hata uaminifu kwenye ndoa ulimshinda, atakuwa mwaminifu kwenye mali ya umma?
7. Je, ni kweli Kafulila alipoteza ndoa kwa sababu ya maisha duni anayoishi kama tunavyoambiwa?
 
Uwezekano kwamba kwenye haya yote anasingiziwa ni mdogo mno. Ingekuwa ni tuhuma, alikuwa tayari anastahili kupelekwa mahakamani. Haya yote hawezi kuwa anasingiziwa
 
Kafulila is my best politician in this country
 
Kafulila is my best politician in this country
Kama kweli haya yote Kayafanya Kafulila basi tumpeni maua yake,

Katika dunia ya Leo mtu kukataa 3bn si jambo dogo hata kama limefanywa na mtu mdogo.

Kafulila endelea hivyo hivyo malipo mengine huwezi kupewa na mwanadamu ila utalipwa na Mungu
 
Dosari lake ni Kwa huyo mwanamke
 
Duuuh!!!

Nimepitia cooments zote,
kweli jamaa ni mtu msafi kama hapa Jf hayupo ata mmojà anayekunyooshea kidole basi kweli huyu ni mtu msafi sana.
 
Acheni propaganda, bilioni tatu angelipwa na nani na kwasababu gani? Zile zilikuwa mbwbwe za kisiasa kipindi kile.
Kuhusu kuitiwa rushwa hata Mimi najua hilo dili na Kuna kiongozi mkubwa wa Upinzani anajifanya yeye ni msafi ila alipitia hiyo gawio la Escrow ila Kafulila aligoma mpaka mwisho.
 
Je no kweli atatia Nia ya kugombea urais 2025 na mama atampisha yeye!!?
 
Ana IDs 30 anajipromote mwenyewe
 
Unawezaje kukataa 3bn kama sio ufa**
Unarudishaji chenji2bn na huna kitu kama sio ufa**
Jesca uliona mbali huu ni msukule
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…