Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mheshimiwa Kafulila anawapa homa sana watu kutokana na kukubalika kwake kwa watanzania
Hata kama ana ID zaidi 500 humu Hilo sio hitaji letu.Ana IDs 30 anajipromote mwenyewe
Ila wewe jamaa na wewe nakuona unachembe chembe za uzalendoJibu ni kuwa Mheshimiwa David Kafulila ni mtu na kiongozi alinyeooka kama rula.alipokuwa RAS mkoa wa Songwe alipewa takribani Billion 6 kwa ajili ya ujenzi wa Makao makuu ya mkoa.lakini alimaliza vizuri ujenzi na kwa ubora wa hali ya juu kwa kutumia Billion 4 Tu na kuacha chenji ya takribani Billion 2. Jambo ambalo liliteka hisia za watu wengi sana ambao wanaendelea kumkumbuka na kumpongeza sana kwa uzalendo huo aliouonyesha wa uaminifu na uadilifu wa kiwango cha juu. Mheshimiwa hana uroho wala tamaa ya pesa chafu.
Angekuwa na uroho na tamaa ya pesa na kutaka utajiri wa njia fupi basi angejipatia mapesa mengi sana katika sakata la Escrow. Lakini Mheshimiwa alisimama kwa ajili ya Taifa na maslahi ya Taifa kupigania pesa na kodi za watanzania wanyonge.
Kiufupi Mheshimiwa Kafulila ni mtu msafi asiye na doa la aina yoyote ile la ufisadi au rushwa. hapo sijazungumzia makubwa aliyoyafanya alipokuwa RC Simiyu .na namna alivyo mrudisha mkandarasi kurudia ujenzi wa barabara kwa gharama zake mwenyewe baada ya kugundulika amejenga chini ya kiwango.
Mwongo huyu Tumbili.Hata kama ana ID zaidi 500 humu Hilo sio hitaji letu.
Sisi tunataka kujua ni kweli alicheua 3bil?
Sisi tunataka kujua ni kweli amerudisha 2bil kama chenji
Sisi tunataka kujua ni kweli jamaa hajawahi kupiga dili lolote la pesa kwa utumishi wake wote Serikalini?
Sisi tunataka kujua ni kweli Kishoa alimkimbia kwa sababu hataki kupiga pesa ili wabadili maisha kama wanasiasa wengine?
Una maana watu wanajipigia tu bila wasiwasi?Mke wake Yuko free kwa sasa.
Uswazi wanasema Jimbo liko wazi.
Ngoja nimfuatilie kama ni kweli ila kama itakuwa kweli basi ni yeyeamani iwe kwenu,
Kwa wale wote mliowahi kuwa karibu na David Kafulila kwa nyakati na sehemu tofauti tofauti nje na ndani ya siasa mtusaidie kujibu maswali haya,
1. Je, ni kweli kwamba huyu David Kafulila anachukia rushwa kwa moyo wake wote na kwanguvu zake zote kama tunavyoambiwa?
2. Je, ni kweli kwamba David Kafulila hajawahi kupiga dili lolote la pesa tangu akiwa Mbunge, RAS, RC na sasa PPP-Center kama tunavyoambiwa?
3. Je, ni kweli kwamba David Kafulila alikataa zaidi ya TZS 3bilioni za Tegeta Escrow mwaka 2014 kama tunavyoambiwa?
4. Je, ni kweli kwamba David Kafulila anauchukia Ufisadi na Mafisadi toka ndani ya moyo wake kama tunavyoambiwa?
5. Je, ni kweli kwamba David Kafulila hajawahi kuhusishwa kabisa na kashfa zozote za rushwa au ufisadi kipindi chote Cha utumishi wake Serikalini kama tunavyoambiwa?
6. Je, ni kweli kwamba David Kafulila alirudisha chenji ya TZS 2 bilíoni kutoka katika TZS 6 bilioni alizopewa kujenga Makao Makuu ya Mkoa wa Songwe kama tunavyoambiwa?
7. Je, ni kweli David Kafulila alipoteza ndoa yake na Jesca Kishoa kwa sababu ya maisha duni ya Kizalendo anayoishi kama tunavyoambiwa?
Comments ziwe fupifupi
Sana, Wizi pia unafuraha za muda🤣🤣 Uzalendo unagharama sana kama ilivyokuwa kwa akina Mandela na wapigania haki wengine.
Hata kama ana ID zaidi 500 humu Hilo sio hitaji letu.
Sisi tunataka kujua ni kweli alicheua 3bil?
Sisi tunataka kujua ni kweli amerudisha 2bil kama chenji
Sisi tunataka kujua ni kweli jamaa hajawahi kupiga dili lolote la pesa kwa utumishi wake wote Serikalini?
Sisi tunataka kujua ni kweli Kishoa alimkimbia kwa sababu hataki kupiga pesa ili wabadili maisha kama wanasiasa wengine?
Kwakweli record za Kafulila zinawapa morali hata vijana wengine kuwa waadilifu kama yeye.Kama ndio hivi Kuna siku Tanzania itàuelewa uadili wa huyu jamaa ila kwa sasa watu hawana shida ya Uzalendo wanashida ya kupiga pesa
Kama baada ya Mama, Mama angeliachia Taifa huyu mtu angekuwa amelipa Taifa zawadi kubwa zaidi.
Hakika!!Kwakweli huyu jamaa ni miongoni mwa wazalendo wa nchi hii
Nimepitia comment zote zijaona hata tuhuma kwa Kafulila,amani iwe kwenu,
Kwa wale wote mliowahi kuwa karibu na David Kafulila kwa nyakati na sehemu tofauti tofauti nje na ndani ya siasa mtusaidie kujibu maswali haya,
1. Je, ni kweli kwamba huyu David Kafulila anachukia rushwa kwa moyo wake wote na kwanguvu zake zote kama tunavyoambiwa?
2. Je, ni kweli kwamba David Kafulila hajawahi kupiga dili lolote la pesa tangu akiwa Mbunge, RAS, RC na sasa PPP-Center kama tunavyoambiwa?
3. Je, ni kweli kwamba David Kafulila alikataa zaidi ya TZS 3bilioni za Tegeta Escrow mwaka 2014 kama tunavyoambiwa?
4. Je, ni kweli kwamba David Kafulila anauchukia Ufisadi na Mafisadi toka ndani ya moyo wake kama tunavyoambiwa?
5. Je, ni kweli kwamba David Kafulila hajawahi kuhusishwa kabisa na kashfa zozote za rushwa au ufisadi kipindi chote Cha utumishi wake Serikalini kama tunavyoambiwa?
6. Je, ni kweli kwamba David Kafulila alirudisha chenji ya TZS 2 bilíoni kutoka katika TZS 6 bilioni alizopewa kujenga Makao Makuu ya Mkoa wa Songwe kwa BOQ ile ile kama tunavyoambiwa?
7. Je, ni kweli David Kafulila alipoteza ndoa yake na Jesca Kishoa kwa sababu ya maisha duni ya Kizalendo anayoishi kama tunavyoambiwa?
Comments ziwe fupifupi
Aise Kafulila Kafulila Kafulila nakuita mara tatu.Kukataa hizo bil 3 za Escrow ni kweli mengine sijui
Nikama naanza kumuelewa huyu jamaa polepoleamani iwe kwenu,