Je, sifa anazopewa Kafulila zina ukweli wowote?

Ana IDs 30 anajipromote mwenyewe
Hata kama ana ID zaidi 500 humu Hilo sio hitaji letu.

Sisi tunataka kujua ni kweli alicheua 3bil?

Sisi tunataka kujua ni kweli amerudisha 2bil kama chenji

Sisi tunataka kujua ni kweli jamaa hajawahi kupiga dili lolote la pesa kwa utumishi wake wote Serikalini?

Sisi tunataka kujua ni kweli Kishoa alimkimbia kwa sababu hataki kupiga pesa ili wabadili maisha kama wanasiasa wengine?
 
Ila wewe jamaa na wewe nakuona unachembe chembe za uzalendo

Endelea kusimama na wazalendo heshima yako itakua sana.
 
Mwongo huyu Tumbili.
 
Ngoja nimfuatilie kama ni kweli ila kama itakuwa kweli basi ni yeye
 

Kama ndio hivi Kuna siku Tanzania itàuelewa uadili wa huyu jamaa ila kwa sasa watu hawana shida ya Uzalendo wanashida ya kupiga pesa

Kama baada ya Mama, Mama angeliachia Taifa huyu mtu angekuwa amelipa Taifa zawadi kubwa zaidi.
 
Kama ndio hivi Kuna siku Tanzania itàuelewa uadili wa huyu jamaa ila kwa sasa watu hawana shida ya Uzalendo wanashida ya kupiga pesa

Kama baada ya Mama, Mama angeliachia Taifa huyu mtu angekuwa amelipa Taifa zawadi kubwa zaidi.
Kwakweli record za Kafulila zinawapa morali hata vijana wengine kuwa waadilifu kama yeye.
 
Nimepitia comment zote zijaona hata tuhuma kwa Kafulila,

Huenda yote yanayosemwa akawa ni kweli.
 
Naona TISS mko kazini ila huyu mtu anashida ya Uraia chunguzeni kama hizo tuhuma si za kweli basi anafaa sana.
 
Nikama naanza kumuelewa huyu jamaa polepole
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…