nadhani kama umepita advance umesoma atleast ka topic ka science and technoogy uliiona definition na maana pana ya science and technology.. KUNA SOCIAL SCIENCE KAMA UCHUMI,SOCIOLOGY NA ENVIROMENTAL ISSUES,GEOGRAPHY NA MENGINE NDIO MAANA KUNA SOCIAL SCIENTISTWadau, kumekuwa na tabia ya kunasibu kila somo na sayansi.
Siku hizi utasikia "Sayansi ya siasa" , "Sayansi ya Jamii" nk.
Mawazo yangu: Masomo ya sanaa yanasibishwe na sanaa na Sayansi yansibishwe na sayansi.
Nini maoni yako?
umeelewa?au bado? Tukuelekeze zaidiwadau, kumekuwa na tabia ya kunasibu kila somo na sayansi.
Siku hizi utasikia "sayansi ya siasa" , "sayansi ya jamii" nk.
Mawazo yangu: Masomo ya sanaa yanasibishwe na sanaa na sayansi yansibishwe na sayansi.
Nini maoni yako?
nashukuru kwa kuelewa mkuunashukuru kwa kunielewesha, nimeelewa.
Nashukuru kwa kunielewesha, nimeelewa.