Je, siku hizi kila somo ni Sayansi?!

Je, siku hizi kila somo ni Sayansi?!

decomm

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2013
Posts
726
Reaction score
666
Wadau, kumekuwa na tabia ya kunasibu kila somo na sayansi.

Siku hizi utasikia "Sayansi ya siasa" , "Sayansi ya Jamii" nk.

Mawazo yangu: Masomo ya sanaa yanasibishwe na sanaa na Sayansi yansibishwe na sayansi.

Nini maoni yako?
 
we mshikaji wewi sijui unakunywa bange....duuuu
 
Wadau, kumekuwa na tabia ya kunasibu kila somo na sayansi.

Siku hizi utasikia "Sayansi ya siasa" , "Sayansi ya Jamii" nk.

Mawazo yangu: Masomo ya sanaa yanasibishwe na sanaa na Sayansi yansibishwe na sayansi.

Nini maoni yako?
nadhani kama umepita advance umesoma atleast ka topic ka science and technoogy uliiona definition na maana pana ya science and technology.. KUNA SOCIAL SCIENCE KAMA UCHUMI,SOCIOLOGY NA ENVIROMENTAL ISSUES,GEOGRAPHY NA MENGINE NDIO MAANA KUNA SOCIAL SCIENTIST
The_Scientific_Universe.png
PIA KUNA NATURAL SCIENCE KAMA MATHS,PHYSICS,BIOLOGY,ANATOMY,CHEMISTRY. SAWA?
 
wadau, kumekuwa na tabia ya kunasibu kila somo na sayansi.

Siku hizi utasikia "sayansi ya siasa" , "sayansi ya jamii" nk.

Mawazo yangu: Masomo ya sanaa yanasibishwe na sanaa na sayansi yansibishwe na sayansi.

Nini maoni yako?
umeelewa?au bado? Tukuelekeze zaidi
 
Nashukuru kwa kunielewesha, nimeelewa.
 
Nashukuru kwa kunielewesha, nimeelewa.

Mkuu engezea na hii:
kuna aina mbili kuu za science,
1 Natural science.
2 Social science.

According to Aristotole:
"There two subject of science.
The universe consists; 1: Physical object = Natural science!
2: Human being who endowed by reasoning = social science eg ecomic, politics, law etc!
 
Kiswahili nayo ni sayansi(Isimu).
 
Back
Top Bottom