The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,092
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wenye hasira sana nadhani wanaishia kutokwa na machozi huku wakitoa sauti kama za kwikwi vile....nawe pia? Mimi huwa naona nyota kisha napoteza fahamumi mkali kama simba. Hahahaha!
Nakutania mwaya, mi mpole sana. Ninapokuwa na hasira to the maximum huwa nashindwa kufanya chochote yaani upole ndio unazidi.
Najua tukio hilo litanipandisha hasira.