A Africana Jr. Senior Member Joined Apr 14, 2011 Posts 123 Reaction score 17 Apr 17, 2011 #42 Husninyo said: mi mkali kama simba. Hahahaha! Nakutania mwaya, mi mpole sana. Ninapokuwa na hasira to the maximum huwa nashindwa kufanya chochote yaani upole ndio unazidi. Najua tukio hilo litanipandisha hasira. Click to expand... Wenye hasira sana nadhani wanaishia kutokwa na machozi huku wakitoa sauti kama za kwikwi vile....nawe pia? Mimi huwa naona nyota kisha napoteza fahamu
Husninyo said: mi mkali kama simba. Hahahaha! Nakutania mwaya, mi mpole sana. Ninapokuwa na hasira to the maximum huwa nashindwa kufanya chochote yaani upole ndio unazidi. Najua tukio hilo litanipandisha hasira. Click to expand... Wenye hasira sana nadhani wanaishia kutokwa na machozi huku wakitoa sauti kama za kwikwi vile....nawe pia? Mimi huwa naona nyota kisha napoteza fahamu