Nafahamu ya kwamba Simba ikiongozwa na Gomes imepoteza mechi 2 za kimataifa ugenini, Al Ahly (Misri) na Kaizer Chiefs (Afrika ya Kusini) lakini sina uhakika kwa mashindano ya nyumbani kama imewahi kupoteza mchezo wowote, mwenye taarifa zaidi anijuze.