Je? Simba Leo Kupita na Upepo Wa Mabigwa Wapya?

Je? Simba Leo Kupita na Upepo Wa Mabigwa Wapya?

GenuineMan

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2017
Posts
7,885
Reaction score
18,636
Msimu huu hasahasa huko Ulaya kumekuwa na wimbi la timu kadhaa kuchukua makombe mbalimbali baada ya kukaa muda mrefu bila kuchukua.

Timu kama Newcastle United, Tottenham Hotspurs, Crystal palace, Bologna Fc 1909 Wamechukua makombe mbalimbali.

Hata kwenye Uefa champions league huenda Paris Saint German wakawa mabingwa.

Turudi kwa Simba, kwa upepo huu
Simba wanaweza kuutumia kuwaongezea hamasa zaidi wachezaji na mashabiki.

LAkini kikubwa mbinu za kocha na wachezaji kujituma bila kusahau kuzingatia maelekezo ya benchi la ufundi vitaamua.

Simba bingwa mpya wa CAFCC.
 
Wote aliowataja wanapiga mwingi
Ni tofauti na Budo, Ahoua, Ngoma na Dese
 
Ukishaona timu zina ahidiwa ahadi kubwa kubwa, ujue hiyo game inatoka kapa... Hakuna ushindi leo
 
utaratibu ukoje wa kupiga picha na kombe pale msimbazi au tulisubiri huku mkoani mtalitembeza? 😁
 
Screenshot_20250524-170531~2.png
 
Fist half 2

Sec half 2

FT
Simba 4-0 Berkane

Baada ya kukabidhiwa ubingwa tutakua na tafrija karibuni sana utopolo vyuraz
 
Back
Top Bottom