Je, Simba na Yanga zipo kama mtaji wa kisiasa?

Majinzi

Senior Member
Joined
Oct 28, 2018
Posts
147
Reaction score
203
Kama nilivyoanza kwa kujiuliza swali je Simba na Yanga zipo kama mtaji wa kisiasa?

Muda mwingi tumekuwa tukilalamika na kulaumu kutokupanda kisoka huku ukweli ni kwamba vijana wengi mtaani wanaibuka na vijaji lakini wanapotea na kubaki na kumbukumbu tu kuwa walikuwa vzr...

Katika umri wangu nimeshuhudia mashindano mengi sana kuanzia shuleni hadi mtaani (Homiseta, Coca-Cola nk) na vijana walikuwa wanajituma sana lakini wakifika ngazi fulani hasa ya wilaya au mkoa ghafla wanakutana na vigingi na hawaendelei..

Licha ya juhudi za vijana lakini ndoto zao zimekuwa zikikatishwa kwa kutokuwepo watu wenye nia ya dhati kuwaendeleza mfano mashindano mengi huanzishwa na wanasiasa hasa ukifikia muda wa utaftaji wa kura au kujijenga kisiasa..

Je ni sahihi kusema Simba na Yanga na soka letu kiujumla lipo kwa maslahi ya wanasiasa?

Ukiangalia migogoro ya simba na yanga ambayo haijawahi kuisha ila mara nyingi hupokezana kijiti nyuma yake utakuta kama kuna siasa au wanasiasa...

Wanaoijua historia ya kuanzishwa kwa hizi club mbili tunaomba mtusaidie pengne kuna jambo limejificha kuna nini kwenye mpira wetu?

Nawasilisha......
 
Mkuu hiz team zilianzishwa ili kusaidia kupata uhuru enz hizo ni ngum serikali kuruhusu mtu mmoja amiliki kwa hofu ya kisiasa,,. Zinatakiwa zibak km zilivyo za wanachama
 
Ushaur wangu Mo angeanzisha team yake tu akanunua wachezaji wakali na uwekezaje kwa uhuru ,,kwa simba ataletewa zengwe tu Mzee kilomon tu anamtoa jasho
 
Ushaur wangu Mo angeanzisha team yake tu akanunua wachezaji wakali na uwekezaje kwa uhuru ,,kwa simba ataletewa zengwe tu Mzee kilomon tu anamtoa jasho
Nyie mnaopinga uwekezaji kwenye timu zetu ndio maadui wa maendelei ya soka letu.
 
Ushaur wangu Mo angeanzisha team yake tu akanunua wachezaji wakali na uwekezaje kwa uhuru ,,kwa simba ataletewa zengwe tu Mzee kilomon tu anamtoa jasho
Wewe unadhani anayemtoa jasho Mo ni kilomoni? Hata mtu anunue timu yake ikiwa na mafanikio tu itakua nongwa. Kiufupi wanasiasa wanaogopa Sana maendeleo ya mpira sio Simba wala Yanga. Hata Mtibwa ianze kufanya maendeleo Mambo yatakua ni haya haya.
 
Mkuu hiz team zilianzishwa ili kusaidia kupata uhuru enz hizo ni ngum serikali kuruhusu mtu mmoja amiliki kwa hofu ya kisiasa,,. Zinatakiwa zibak km zilivyo za wanachama
Kwa maana hiyo tunapaswa wananchi kukijua hilo na tuanze kuelekeza nguvu sehemu nyingne ili kuupeleka mpira wetu mbele, kumbe kikwazo ni siasa ndo maana hatufiki tunapo pataka? [emoji23]
 
Ushaur wangu Mo angeanzisha team yake tu akanunua wachezaji wakali na uwekezaje kwa uhuru ,,kwa simba ataletewa zengwe tu Mzee kilomon tu anamtoa jasho
MO kuanzisha Team nyingne si hoja sana ila swala tunataka kujua kiini cha tatizo cha hasa hizi Team mbili simba na yanga

Hata kabla ya MO tumeona jinsi Manjii alivyokuwa anasumbuliwa pamoja na kuipa mafanikio yanga

Lakini zaidi wadhamini wamekuwa wanachama wa vyama wa siasa, je kuna haja wa kuweka sera na kuweka wadhamini huru? wasiojihusisha na siasa kabsa?

Yaani tuweka mtu akiingia kwenye mpira haruhusiwi kuhusika kwenye siasa na wala wachezaji haruhusiwi kujihusisha na siasa
 
hizo team zina wafuasi wengi wakati mwingine migogoro hutengenezwa makusudi kuwasahaulisha watu mambo fulani yanayoendelea nchini
 
Mwakyembe ni kiongozi mwenye akili mbaya aliyetajwa na Kikwete siku ya kubwa kuliko..anajua Kuna kanuni inayotaka wawekezaji watatu toka 2017..kwa mahaba yake kwa mikia akaruhusu MO awekeze peke yake..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…