Majinzi
Senior Member
- Oct 28, 2018
- 147
- 203
Kama nilivyoanza kwa kujiuliza swali je Simba na Yanga zipo kama mtaji wa kisiasa?
Muda mwingi tumekuwa tukilalamika na kulaumu kutokupanda kisoka huku ukweli ni kwamba vijana wengi mtaani wanaibuka na vijaji lakini wanapotea na kubaki na kumbukumbu tu kuwa walikuwa vzr...
Katika umri wangu nimeshuhudia mashindano mengi sana kuanzia shuleni hadi mtaani (Homiseta, Coca-Cola nk) na vijana walikuwa wanajituma sana lakini wakifika ngazi fulani hasa ya wilaya au mkoa ghafla wanakutana na vigingi na hawaendelei..
Licha ya juhudi za vijana lakini ndoto zao zimekuwa zikikatishwa kwa kutokuwepo watu wenye nia ya dhati kuwaendeleza mfano mashindano mengi huanzishwa na wanasiasa hasa ukifikia muda wa utaftaji wa kura au kujijenga kisiasa..
Je ni sahihi kusema Simba na Yanga na soka letu kiujumla lipo kwa maslahi ya wanasiasa?
Ukiangalia migogoro ya simba na yanga ambayo haijawahi kuisha ila mara nyingi hupokezana kijiti nyuma yake utakuta kama kuna siasa au wanasiasa...
Wanaoijua historia ya kuanzishwa kwa hizi club mbili tunaomba mtusaidie pengne kuna jambo limejificha kuna nini kwenye mpira wetu?
Nawasilisha......