Je, Simba SC tunalo la kujifunza kutoka kwa Yanga SC?

Mtoa Uzi ameleta Uzi wake kwa swali kuna majibu ya Hapana na ndiyo...hivyo majibu yote yaheshimiwe.
 
Ukweli ni kwamba

Simba yetu ina mengi sana ya kujifunza kwa Yanga
 
Financialy & fan base , SIMBA ipo OK kuliko YANGA , Tofauti ya simba na YANGA siku za karibuni ipo ktk safu ya menejimenti...
Kama kuna kuna mabadiliko yanahitajika kwa sasa ( 2nd reform) basi Simba Management inahitaji safu ya vijana weledi ,...
Ile tzana + team spirit ya akina MAGORI itengeneze tena...
 
Simba kama Club, haina fedha. Mo Dewji anatoa pesa nyingi sana kuliko GSM
Lakini kimapato, Simba isingekuwa na kikosi ilicho nacho, wala uwanja wa mazoezi.

Kuna uwekezaji mkubwa sana kutoka kwa Dewji, lakini mafanikio hayalingani. Yanga on the other hand, kama club inaingiza fedha nyingi kuliko Simba, ina members na washabiki waliorekodiwa kidijitali na ina future nzuri kiuwekezaji tofauti na Simba uwekezaji ulikuwa wa kiswahili mno, haitaweza kujiendesha yenyewe kwa kiwango hichi mpaka Dewji aweke angalau 5b every year hata baada ya kutoa 20bn na kununua nusu ya hisa zote.

Simba, tofauti na inavyojitangaza ni timu ya kiswahili sana, bad investment managed badly.
 
Financially kwa pesa gani na hesabu zipi za mapato na matumizi,na hiyo fans base kwa data zipi maana kwa data za TFF Yanga ndio inaongoza kuingiza mashabiki Viwanjani
 
Itapendeza zaidi ukihamia huko Yanga
 
Reactions: BRN
Tuseme tu ukweli mimi ni simba damu na nina kadi ila siridhishwi mfumo wa mwalimu,kikosi ina wachezaji wazuri ila kila mechi ni kama tunabahatisha, tuseme ukweli kocha wetu ndo tatizo,anaweza akawa na falsafa yake lakini inashindwa kufanya kazi ipasavyo.

Una Chama,Ngoma, Baleke , Miquison ,Phiri lakini anashindwa kuunganisha timu,wachezaji wana papara. Enzi za Uchebe , Kishingo ,Gomes na Mgunda unaona soka likitandazwa safi,kocha kapokea timu msimu unaisha,wameweka kambi na mechi kibao za kirafiki nakini hamna soka linaloeleweka.

Hata kikosi (first 11) haieleweki kama ameshapata maana huoni hata combination ya wachezaji,mtu kama Saido ni kama anaingilia nafasi za wengine na kuharibu, Simba hadi sasa inatumia mpira wa ngumu na uwezo wa wachezaji lakini siyo mipira ya kupanga mashambulizi ya maana.

Wachezaji ni wazuri ila kocha anafeli sana.
 
Yao,max,pacome wameingia kwenye mfumo mapema kutokana yao na pacome wametoka asec so lazima wacheze vizuri na aziz ukiongelea max ni mkongo man kakutana na wacongo man wenzake pale kiufupi wengi wanajuana tofauti na recruit ya simba wengi ndio wanakutana pale so ni kazi ya kocha kuwaweka sawa. Lakini pia simba hatuna cha kujifunza kwa yanga maana kila timu hapo ina falsafa yake wao pasi nyingi zisizo na maufaa pasi za nyuma ni nyingi mnoo, sisi boli itembee mbele kiufupi robertinho atakuja kumchapa mtu kipigo cha mbwa koko tupo hapa utaleta mrejesho
 
M
Tangu robertinho aanze kazi kafungwa na timu gani ligi kuuu?? Mpaka useme hana mfumo?? Wewe ungekuwa kocha ungepanga first11 ipi? Pale timu inapangwa kulingana aina ya game so usikalili.
 
Kwani yanga club bingwa mtafika wapi kwa beki zenu za mchongo..na kama mko vizuri mgefunga ngao ya jamii sio mnapigwa mnasingizia penati za mchongo. Kama sio waamuzi mafala mgekufa kwa penati mbili ndani dk 90. Simba iko kimkakati sio kudance na kufurahisha mashabiki kwa pasi kibao za half yenu
 
Financially kwa pesa gani na hesabu zipi za mapato na matumizi,na hiyo fans base kwa data zipi maana kwa data za TFF Yanga ndio inaongoza kuingiza mashabiki Viwanjani
Utakuwa mgongo wazi wewe
 
Reactions: BRN
Naunga mkono hoja...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…