cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Huyo Rose Muhando wee haukumtakaa??Ngao iliyopatikana kupitia Rose Mhando?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo Rose Muhando wee haukumtakaa??Ngao iliyopatikana kupitia Rose Mhando?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa unajua Simba wako mbali kuliko Yanga, sasa simba wajifunze nn kutoka kwa team aliyo iacha mbaliii??Mashabiki wa simba mna shida sana aisee. Jamaa alichoongea mnaona kama hakina maana lakini si muda mtaanza michuano ya supercup mtaona maana ya hiki anachoongea. Unafikiri Robertinho hataki kufanya rotation kama Gomond? Wachezaji wengi hawajaingia kwenye mfumo wake ndomana. Jamaa anaongea point et mnaweka picha ya ngao ambayo mmebeba kwa penalty za mchongo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Ttzo mnajipa ukubwa ambao si lazima miaka yote uwe mkubwa. Hatukatai simba kwenye michuano ya CAF mko mbali lakini msipojiangalia yaanga anakuja na atawapita itabidi muanze kujifunza kwake.. hope mliona ya mwaka jana. Haiwezekan michuano unayo mengi lakini lakini ni wachezaji wanne tu ambao wamesajiliwa ndo angalau wanajitafuta kuingia kwenye mfumo while michuano ya kimataifa inaanza si muda! Endeleeni kukaza fuvu mtakipata
Huyo anayeiga kwako mbona kakuzidi kila kitu kuanzia makombe, H2H yan hufui dafu kwake kwa lolote na bado aige kwako😂😂😂Hatuna la kujifunza toka kwa UTOPOLO, nyie UTOPOLO ndio mmekuwa mkijifunza toka kwetu toka kuanza kuvaa jezi, kuvaa viatu vya mpira, kumiliki basi la Club, kucheza Fainali CAF, Kucheza nusu fainali Club Bingwa, kumiliki uwanja wa Mazoezi wa kwetu, kuanzisha Matamasha ya siku ya simba day....huko kwenu Utopoloni wenye Akili ni wawili tu...
Ndo maana yanga inayopigiwa mfano mtoa mada juzi ilichukua ngao ya hisani kwa mtibwa.Ni juzi tu simba ameshinda bao nne dhidi ya mtibwa.Huyu ni simba tangu zamani na humu anajulikana labda wewe hujui .
Amesema ukweli sababu ana uchungu na team yake tutolee ushabiki wa kipumbavu hapa pokeeni ushauri hapo.
Kwa hiyo simba haishindi, uanamichezo wako upo wapi sasa?Toka simba aliposajili mara zote ameshinda.Au mpira ni nini?Watu Humu Mnajibu Kama Sio Mashabiki na Wapenzi Wa Mpira, Tuachane na Historia zote za Nyuma sijui tulifanya nini ikawa nini, Tunaongelea sahizi wakati timu inaelekea Kwenye Mashindano Ya SuperCup, Haiwezekani Kama Kocha Alishiriki katika Kusajili wachezaji hadi sasa Awe hana First 11 yenye uhakika na Ushindi.
Ukiangalia Simba Ya Mgunda na Sahizi ni sawa? Ukiangalia Simba Ya Gomez? Sven? Ile Simba Ya Pira Biriani?
Na Hapa Tujifunze kwa Yanga kwanini Wao wamesajiri wachezaji kama Sisi ila Wao wachezaji wameweza kuingia Kwenye Mfumo na Kuwa Gumzo? Wakati sisi Tulienda Hadi Uturuki na Timu bado inajitafuta?
Kocha wetu viongozi waliacha Katika Kambi Ya Wiki 4 Uturuki Kocha Kakaa na Timu Wiki 1,Shida nini Kwenda Kusoma Ukocha?
Mafuta yakabeba ndoo kwa timu ya mfano.Simba ilionekana bora kwakua Yanga ilikua inatembeza bakuli na bado Yanga ilitoa ushindani wa kutosha.
Yanga ilikua ikianza na Ditram Nchimbi na substitution yupo Yipe.
Sasa timu zinalingana ki uchumi na maji na mafuta yanajitenga.
Kwa mtazamo wangu naona kuna sehemu mbili ambazo mtani wangu unakoseaSio Kwa Ubaya, Nikiri Wazi Mimi ni Shabiki Kindakindaki wa Simba Sc. Naipenda Hii Timu mnoo. Ila Katika mpira au Biashara yoyote ya Ushindani Ni Vizuri kujifunza Mpinzani wako wa Karibu yeye anafanye ili uweze kufika Mbali.
Timu Za Simba Na Yanga Zote zilifanya Usajiri kwa Muda unao fanana na Vikosi vyote viliungana kwa Muda Unaofanana.
Simba Sc Tusione Aibu kujifunza Kwa Yanga, Ni hayo tuu.
Wakati Simba wanatangaza nafasi ya kocha, si ungepeleka CV yako ili uchujwee?Watu Humu Mnajibu Kama Sio Mashabiki na Wapenzi Wa Mpira, Tuachane na Historia zote za Nyuma sijui tulifanya nini ikawa nini, Tunaongelea sahizi wakati timu inaelekea Kwenye Mashindano Ya SuperCup, Haiwezekani Kama Kocha Alishiriki katika Kusajili wachezaji hadi sasa Awe hana First 11 yenye uhakika na Ushindi.
Ukiangalia Simba Ya Mgunda na Sahizi ni sawa? Ukiangalia Simba Ya Gomez? Sven? Ile Simba Ya Pira Biriani?
Na Hapa Tujifunze kwa Yanga kwanini Wao wamesajiri wachezaji kama Sisi ila Wao wachezaji wameweza kuingia Kwenye Mfumo na Kuwa Gumzo? Wakati sisi Tulienda Hadi Uturuki na Timu bado inajitafuta?
Kocha wetu viongozi waliacha Katika Kambi Ya Wiki 4 Uturuki Kocha Kakaa na Timu Wiki 1,Shida nini Kwenda Kusoma Ukocha?
Pengo LA mayele linazibwa na Musonda?? Ndo kwa mantiki yako? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa mtazamo wangu naona kuna sehemu mbili ambazo mtani wangu unakosea
Kwanza kupoteza falsafa ya timu. Timu lazima iwe na falsafa yake mfano kumiliki mpira, kupaki basi n.k na pale
NB; Ni mtazamo wangu tu watani zangu, turekebishane kistaarabu
Huwezi kuuficha ukweli.Unatafuta kutukanwa na Kambi ya Fisi
Wewe ndio unajua kuwa kocha hana first eleven? mlikaa kikao gani?Watu Humu Mnajibu Kama Sio Mashabiki na Wapenzi Wa Mpira, Tuachane na Historia zote za Nyuma sijui tulifanya nini ikawa nini, Tunaongelea sahizi wakati timu inaelekea Kwenye Mashindano Ya SuperCup, Haiwezekani Kama Kocha Alishiriki katika Kusajili wachezaji hadi sasa Awe hana First 11 yenye uhakika na Ushindi.
Ukiangalia Simba Ya Mgunda na Sahizi ni sawa? Ukiangalia Simba Ya Gomez? Sven? Ile Simba Ya Pira Biriani?
Na Hapa Tujifunze kwa Yanga kwanini Wao wamesajiri wachezaji kama Sisi ila Wao wachezaji wameweza kuingia Kwenye Mfumo na Kuwa Gumzo? Wakati sisi Tulienda Hadi Uturuki na Timu bado inajitafuta?
Kocha wetu viongozi waliacha Katika Kambi Ya Wiki 4 Uturuki Kocha Kakaa na Timu Wiki 1,Shida nini Kwenda Kusoma Ukocha?
Kwani zimechezwa mechi ngapi tangu reference yako ya Ngao ya Hisani?Angalia Namna ambavyo Pacome, Yao, Max, Skudu, Konkon nk walivyo wahi kuingia Kwenye kuliko akina Luis, Onana, Kramo, Ngoma nk.
Nahitaji reply za watu wa michezo na itapendeza zaidi wakiwa wanaume wenzanguPengo LA mayele linazibwa na Musonda?? Ndo kwa mantiki yako? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Simba ni Simba na Yanga ni Yanga, hata jezi zao zipo tofauti. Ni ujinga kuwaza ulivyo waza.
Ikiwa una mahaba na Yanga songa mbele na Yanga yako, tuachie Simba yetu.