Albinoomweusi
JF-Expert Member
- Oct 28, 2016
- 3,433
- 8,585
Wawa hawezi kuachwa na alishaongezwa mkatabaShiboub alikuwa na mkataba wa mwaka mmoja na hawezi kubakia klabuni, Kanda naye kuna hatihati asibakie pamoja na Pascal ila sio Mayalla ni Wawa!
Enjoy your day
anatokea nchi gani acha uongo wewe. huyo dogo ni mtoto wa mchezaji wa zamani wa Sigara ya kina Kosango Athumani akiitwa Martin Ilamfya. Huyo dogo kacheza African Sports ya Tanga tangu 2015 baadae akaenda Mwadui kabla ya KMC.Huyu Charles Illamfiya naye sio mtanzania, kwahiyo muongeze kwenye list hapo sijui unamsubstitute nani hapo.
Ni wa nchi gani huyu mkuuHuyu Charles Illamfiya naye sio mtanzania, kwahiyo muongeze kwenye list hapo sijui unamsubstitute nani hapo.
Na ndio maana nikasema kuna hatihati
Mo mwenyewe anashusha bonge la mchezaji kuwahi kuja cheza Tanzania. Hapo saa 11 jioni nchi itatikisika, angalia mitandao ya Simba1.Wawa
2.onyango
3.Fraga
4.Shiboub
5.Chama
6.Miqquisone
7.Kanda
8.Kagere
9.Kahata
10. morrison
Ikiwa Club Haijatangaza wachezaji walioachw Je inaaanisha ndio tumefunga usajili wa Kimataifa?
Sent from my M4 using JamiiForums mobile app
Shiboub, fraga kaomba ondoka nasikia anamiss kwao, kanda....1.Wawa
2.onyango
3.Fraga
4.Shiboub
5.Chama
6.Miqquisone
7.Kanda
8.Kagere
9.Kahata
10. morrison
Ikiwa Club Haijatangaza wachezaji walioachw Je inaaanisha ndio tumefunga usajili wa Kimataifa?
Sent from my M4 using JamiiForums mobile app
Mkongomani Chriss Mugalu na Mzambia Larry Bwalya tayari wametuaMo mwenyewe anashusha bonge la mchezaji kuwahi kuja cheza Tanzania. Hapo saa 11 jioni nchi itatikisika, angalia mitandao ya Simba
usajili wa dogo wa Lipuli umefuta uhitaji wa JA, haiwezekani nafasi 1 wachezaji wa 3