Je Simba SC wamefunga usajili wa kimataifa?

Je Simba SC wamefunga usajili wa kimataifa?

Albinoomweusi

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2016
Posts
3,433
Reaction score
8,585
1.Wawa
2.onyango
3.Fraga
4.Shiboub
5.Chama
6.Miqquisone
7.Kanda
8.Kagere
9.Kahata
10. morrison

Ikiwa Club Haijatangaza wachezaji walioachw Je inaaanisha ndio tumefunga usajili wa Kimataifa?

Sent from my M4 using JamiiForums mobile app
 
Shiboub alikuwa na mkataba wa mwaka mmoja na hawezi kubakia klabuni, Kanda naye kuna hatihati asibakie pamoja na Pascal ila sio Mayalla ni Wawa!

Enjoy your day
 
Huyu Charles Illamfiya naye sio mtanzania, kwahiyo muongeze kwenye list hapo sijui unamsubstitute nani hapo.
 
Huyu Charles Illamfiya naye sio mtanzania, kwahiyo muongeze kwenye list hapo sijui unamsubstitute nani hapo.
anatokea nchi gani acha uongo wewe. huyo dogo ni mtoto wa mchezaji wa zamani wa Sigara ya kina Kosango Athumani akiitwa Martin Ilamfya. Huyo dogo kacheza African Sports ya Tanga tangu 2015 baadae akaenda Mwadui kabla ya KMC.
 
1.Wawa
2.onyango
3.Fraga
4.Shiboub
5.Chama
6.Miqquisone
7.Kanda
8.Kagere
9.Kahata
10. morrison

Ikiwa Club Haijatangaza wachezaji walioachw Je inaaanisha ndio tumefunga usajili wa Kimataifa?

Sent from my M4 using JamiiForums mobile app
Mo mwenyewe anashusha bonge la mchezaji kuwahi kuja cheza Tanzania. Hapo saa 11 jioni nchi itatikisika, angalia mitandao ya Simba
 
Mo mwenyewe anashusha bonge la mchezaji kuwahi kuja cheza Tanzania. Hapo saa 11 jioni nchi itatikisika, angalia mitandao ya Simba
Mkongomani Chriss Mugalu na Mzambia Larry Bwalya tayari wametua
 
Back
Top Bottom