JE SIMBA SC WANAJUA KWAMBA MCHEZAJI BABACAR SARR NI MTUHUMIWA WA UBAKAJI ALIYEKIMBIA ULAYA BAADA YA KUSHTAKIWA..??

JE SIMBA SC WANAJUA KWAMBA MCHEZAJI BABACAR SARR NI MTUHUMIWA WA UBAKAJI ALIYEKIMBIA ULAYA BAADA YA KUSHTAKIWA..??

Ujinga ni kudhani unajua vitu ambavyo ungeweza Ukaulizwa ukasaidiwa.
Tanzania Hii kuna watu wangapi wanaitwa Abdul Masoud?
Vipi kuhusu akina John Peter?
Kweli Mwiko Nyuma.
 
Sio mwana simba ila kwa hili acha tu wasajili, kesi za ubakaji na unyanyasaji wa kijinsia kwa wazungu nyingi hua ni za kipuuzi sana mfano ni kilichomtokea Mason Greenwood. Ila pia mi kama mwananchi sina moral authority kuwakomalia wakati na sisi tuliwahi kuwa na mchezaji ambao tulikuwa tukilazimika kucheza kwa Madiba yeye hawezi kwenda.
 
Makolo wamefunga macho na kuziba masikio ndio maana viongozi wao wanaokota wachezaji hawawezi kucheki hata history ya mchezaji wao ni beba twende
 
Simba watakutana na rungu la FIFA na CAF kuna wasiwasi wa simba kupigwa life ban ya kushiriki michuano ya kimataifa.. Mungu ibariki simba
 
I am not going to exchange words with you sababu hauna akili na probably haujui impacts zitakazoikuta Simba kwa kufanya hii signing. We are not writing this out of jealousy na ushabiki. We do love simba ndo maana tunawaonyesha wanapokosea.
🤣🤣 yaani wewe ndio uishauri Simba?
 
Mtu mmoja kesi za ubakaji kwenye nchi 44 za ulaya alafu hajashikwa hadi Leo🤔🤔 huo ni uongo peleka hizo stori zako kwenye vijiwe vya kahawa
 
Babacar Sarr (born 15 February 1997) is a Senegalese former professional footballer, who is most known for the two separate rape accusations he has against him from two different women in Norway, for which he is wanted by Interpol due to the lack of presence in the trials.
 
Asalaam Aleikum ndugu wana JF,
Bila kupoteza muda niende moja kwa moja kwenye hoja yangu. Nimeona recently Simba Sc wamefanya signing ya mchezaji ambaye alikimbia kucheza soka ulaya baada ya kushtakiwa kwa makosa ya ubakaji zaidi ya mara moja tena kwenye nchi tofauti tofauti za bara la ulaya. Sikatai kwamba tuna shida za wachezaji wazuri ila moral ethics pia ni muhimu tuziangalie before our signings. Mchezaji Babacar Sarr amevunjiwa mkataba na every club ambayo ameenda after getting to know kwamba ana rape accusations na international warrants kwenye nchi zaidi ya 44 za bara la Europe. Kwa wafatiliaji zaidi watakuwa wanajua pia kwamba kilichomtoa Ole Gunnar Solskjær pale united ni scandal yake ya kumsajili Babacar kipindi akiwa kocha wa Molde. US Montasirr pia walivunja mkataba naye last season baada ya kujua kwamba mchezaji wao ni mbakaji mwenye case zaidi ya moja kwenye bara la Europe. Chini hapa nitawawekea historia yake mchezaji “mbakaji” Babacarr Sarr.

2015​

November: Babacar Sarr, then playing at Sogdnal, is accused of raping a sleeping woman during an end-of-season trip to Stockholm. Police investigate but the case is dropped.

2016​

July 20: Ole Gunnar Solskjær signs Sarr for Molde.

2017​

May 14: Sarr allegedly rapes a sleeping woman after an alcohol-fuelled night of partying in Molde. He denies any wrongdoing.

June 2: After news emerges police are investigating an unnamed Molde player, Solskjær tells newspaper Romsdals Budstikke there is “no reason” not to pick Sarr because he has been neither charged nor convicted. Sarr even captains the side on at least one occasion.

2018​

March 23: Sarr is formally charged with rape in the Molde case.

June: A woman comes forward claiming she had given birth to a child conceived when Sarr raped her while she slept in 2014.

August 11: Solskjaer tells online newspaper Nettavisen Molde have “chosen to trust the player” when quizzed about the decision to pick him.

August 13: Amid criticism of his comments and their potential impact on the case, Solskjaer says he had not intended his comments to imply Sarr’s innocence but to express “trust” in his ability to perform during the case.

August 14: Sarr’s trial begins.

August 17: Sarr is acquitted of the crime of rape. The case split the three judges presiding over it, with the professional judge disagreeing with the verdict of his two lay colleagues. The same trio nevertheless order Sarr to pay his accuser compensation of 150,000 Norwegian kroner (around £12,500) after ruling in her favour on the balance of probabilities. Both sides appeal.

November 25: After continuing to be picked by Solskjaer, Sarr allegedly rapes the same woman twice in Oslo after Molde’s final game of the season.

December 19: Solskjaer is appointed caretaker manager of Manchester United until the end of their season, with an undertaking to return to Molde afterwards.

2019​

January 18: Sarr’s Molde contract is terminated by mutual consent.

February 5: Russian Premier League club Yenisey Krasnoyarsk announce Sarr’s signing.

February 14: The appeal hearing into Sarr’s acquittal is postponed after a key prosecution witness, a former Molde team-mate, chooses to play a friendly match for his Danish club instead of attending.

June 11: Saudi Arabian club Damac FC announce the signing of Sarr a day before he is scheduled to attend a rearranged appeal hearing. It also emerges that an international arrest warrant has been issued for him amid fears he will not show up. He duly fails to do so. Neither Russia nor Saudi Arabia have extradition treaties with Norway.

June 11: Solskjaer’s long-time agent, Jim Solbakken, denies engineering Sarr’s moves to Russia and Saudi Arabia. The website Josimar publishes messages between him and the player casting doubt on this.

June 26: Sarr is proven to have fathered the child allegedly conceived by rape in 2014.

September 30: The rearranged appeal hearing into the May 2017 rape claim, scheduled for the following day, is postponed until Sarr’s return to Norway.

October 4: Sarr’s appeal against his compensation payment is thrown out over his failure to attend the October 1 hearing.

2020​

January 14: Damac FC announce they have terminated Sarr’s contract.

February 4: A court judgment into the decision to throw out Sarr’s appeal reveals he has been charged with another rape. Nettavisen subsequently reports the charge relates to the November 2018 accusation.

Link zaidi juu ya accusations za mchezaji Babacarr Sarr hizi hapa

Huyo Babacar Sarr unayemzungumzia wewe sio huyu aliyesajiliwa na Simba,... Aliyesajiliwa na Simba hakuwahi kucheza soka barani Ulaya...... Babacar Sarr wa Simba kapitia Tengueth FC ya Senegal amecheza na Pape Sakho wa Simba,..pamoja na Malikou Ndoye anaekipiga Azam Fc Currently,...na Kocha wao alikua Yusuf Dabo huyu wa Azam FC .

Babacar Sarr Kwa ufupi kachezea timu zifuatazo:-
1. As Pikine - Senegal
2. Tengueth FC - Senegal
3. Mo Bedjaia - Tunisia
4. Us Monastrienne - Tunisia


So,. nadhani huyo mwenye scandal ya ubakaji ni mwingine kabisa,...Majina Tu yamefanana.
 
Back
Top Bottom