JE SIMBA SC WANAJUA KWAMBA MCHEZAJI BABACAR SARR NI MTUHUMIWA WA UBAKAJI ALIYEKIMBIA ULAYA BAADA YA KUSHTAKIWA..??

Mbna bigirimana alikua na ugonjwa wa kudumu na league ya ulaya ilimkataa, ila huko Utopoloni alisajiriwa?

Hebu tupishee sie, mfyuuuuh
 
Ujinga ni kudhani unajua vitu ambavyo ungeweza Ukaulizwa ukasaidiwa.
Tanzania Hii kuna watu wangapi wanaitwa Abdul Masoud?
Vipi kuhusu akina John Peter?
Kweli Mwiko Nyuma.
 
Sio mwana simba ila kwa hili acha tu wasajili, kesi za ubakaji na unyanyasaji wa kijinsia kwa wazungu nyingi hua ni za kipuuzi sana mfano ni kilichomtokea Mason Greenwood. Ila pia mi kama mwananchi sina moral authority kuwakomalia wakati na sisi tuliwahi kuwa na mchezaji ambao tulikuwa tukilazimika kucheza kwa Madiba yeye hawezi kwenda.
 
Makolo wamefunga macho na kuziba masikio ndio maana viongozi wao wanaokota wachezaji hawawezi kucheki hata history ya mchezaji wao ni beba twende
 
Simba watakutana na rungu la FIFA na CAF kuna wasiwasi wa simba kupigwa life ban ya kushiriki michuano ya kimataifa.. Mungu ibariki simba
 
I am not going to exchange words with you sababu hauna akili na probably haujui impacts zitakazoikuta Simba kwa kufanya hii signing. We are not writing this out of jealousy na ushabiki. We do love simba ndo maana tunawaonyesha wanapokosea.
🤣🤣 yaani wewe ndio uishauri Simba?
 
Mtu mmoja kesi za ubakaji kwenye nchi 44 za ulaya alafu hajashikwa hadi Leo🤔🤔 huo ni uongo peleka hizo stori zako kwenye vijiwe vya kahawa
 
Babacar Sarr (born 15 February 1997) is a Senegalese former professional footballer, who is most known for the two separate rape accusations he has against him from two different women in Norway, for which he is wanted by Interpol due to the lack of presence in the trials.
 
Huyo Babacar Sarr unayemzungumzia wewe sio huyu aliyesajiliwa na Simba,... Aliyesajiliwa na Simba hakuwahi kucheza soka barani Ulaya...... Babacar Sarr wa Simba kapitia Tengueth FC ya Senegal amecheza na Pape Sakho wa Simba,..pamoja na Malikou Ndoye anaekipiga Azam Fc Currently,...na Kocha wao alikua Yusuf Dabo huyu wa Azam FC .

Babacar Sarr Kwa ufupi kachezea timu zifuatazo:-
1. As Pikine - Senegal
2. Tengueth FC - Senegal
3. Mo Bedjaia - Tunisia
4. Us Monastrienne - Tunisia


So,. nadhani huyo mwenye scandal ya ubakaji ni mwingine kabisa,...Majina Tu yamefanana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…