JE SIMBA SC WANAJUA KWAMBA MCHEZAJI BABACAR SARR NI MTUHUMIWA WA UBAKAJI ALIYEKIMBIA ULAYA BAADA YA KUSHTAKIWA..??

Bara zina la Ulaya lina nchi 24, sasa hizo nchi sijui 194 au 44 zinatoka wapi?Hivi nyinyi mmesoma shule kweli au ni mburura tu?
 
Sarr's lawyer, Yvonne Larsen, told Newsbeat the issue of the first rape has been "dealt with already" because Sarr was found not guilty at his first trial.
She added that Sarr continued to play football while he was charged because "everyone is innocent until guilt is proved by the law, and Mr Sarr is still innocent".
"There is nothing strange about this situation at all."
 
Muhalifu ni nani?
Ni mtu yoyote aliyechunguzwa na kukutwa na hatia.

Hata wewe una matukio mengi tu, ni vile hujachuguzwa na kukutwa na hatia.

Kama una ushahidi mpeleke mahakamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…