mzee wa bwaksi
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 2,255
- 3,972
Huku Yanga [emoji617] hatuna shabiki Andazi kama wewe, bakia huko huko Kwa Mikia wenzako. Na makundi hamtoboi ng'ooSimba ajipange maana akishinda mechi moja tu atarudisha confidence ya kupata matokeo. Mimi ni yanga ila yanga sio ya kuiamini sana kutuvusha kwenye mashindano makubwa.
Game zake mbili Horoya nyumbani atacheza na Vipers na Raja,wewe unaonaje hapo atashinda izo mechi zote?Horoya akishinda game zake mbili za nyumbani simba haendi kokote, shida ndio ipo hapo.
Game zake mbili Horoya nyumbani atacheza na Vipers na Raja,wewe unaonaje hapo atashinda izo mechi zote?
kumbuka Horoya Vs Vipers mechi ya kwanza wali draw.
Vipers vs Horoya, Uganda. Vipers walishambuliwa sana japo walikuwa nyumbani kwao. Mechi ya marudiano itakuwa ya kufa na kupona kwasababu mpaka wanakutana hapo kila mmoja anajua hiyo mechi akishinda itampeleka wapi maana ndiyo ya mwisho. Mechi za kujiangalizia upepo wako ni hizi mechi mbili mbili zinazofuatana kwa kila timu (Vipers vs Simba/ Simba vs Vipers na Raja vs Horoya/ Horoya vs Raja)Game zake mbili Horoya nyumbani atacheza na Vipers na Raja,wewe unaonaje hapo atashinda izo mechi zote?
kumbuka Horoya Vs Vipers mechi ya kwanza wali draw.
Al Hilal mechi zao za away huwa na mentality ya kutafuta sare tu kushinda away labda itokee kama zari ila kufungwa away au kusare ni jambo la kawaida sana. Tofauti na Raja wao wanataka kukubamizia huko huko kwako sare labda itokee tu.Horoya akicheza na raja Guinea kabla jua halijazama. Horoya atashinda mechi hiyo na raja..
Na najua horoya wajanja watafosi ratiba isiwe usiku
Waarabu hawana makali kwenye jua
Juzi tu Al hilal ya sudan imemfunga Al Ahly ya misri... mechi ilikuwa mapema jua bado lipo
Al Hilal mechi zao za away huwa na mentality ya kutafuta sare tu kudhinda away labda itokee kama zari ila kufungwa away au kusare ni jambo la kawaida sana. Tofauti na Raja wao wanataka kukubamizia huko huko kwako sare labda itokee tu.
Ishu ya muda wa mechi, ni kwamba kwa hatua hii hii anayebariki muda ni CAF hivyo anakukubalia muda kulingana na ratiba ya haki ya matangazo kwa warushaji.
nakaziaMechi inayofuata ndio itatoa muelekeo wa Simba. Kama watafungwa na Vipers itakuwa ndio bsi tena.
Kwa huyu kocha mzungu,sahau kwanza ushindi,jihesabu kama shabiki wa IhefuKlabu ya Simba Sc imepoteza michezo miwili mfululizo ya klabu bingwa Africa CAFCL, lakini wamebakiwa na michezo minne miwili ikiwa ugeni dhidi ya RAJA CA na VIPERS na nyumbani dhidi ya HOROYA na VIPERS. Unaiona Simba ikitoboa quarter final?View attachment 2524841
Wali draw ugenini wame ongeza kitu, mpini upo kwao wao ndio waamue kuzingua tu.Game zake mbili Horoya nyumbani atacheza na Vipers na Raja,wewe unaonaje hapo atashinda izo mechi zote?
kumbuka Horoya Vs Vipers mechi ya kwanza wali draw.
poa.Wali draw ugenini wame ongeza kitu, mpini upo kwao wao ndio waamue kuzingua tu.
Kwamba mlivyomfuata muarabu kinyumenyume, mlikua hamjaamua kushinda?Hata isipovuka si jambo geni Simba kuingia robo fainali. Simba inashinda ikiamua sio kama wale wanaoahidiwa kupewa kodi/tozo zetu ili washinde
Simba anaweza kumaliza Makundi haya akiwa na points 1 au 3Simba atapita kwenye makundi .
Siongelei ushabiki ila msukumo wa nafsi .
Reserve my comment.
Sikatai wala sikubali ila nafsi yangu imesema hivyoSimba anaweza kumaliza Makundi haya akiwa na points 1 au 3
Mechi ngumu sana hiyo.Mechi inayofata Simba akishinda moja kwa moja atavuka kwenda robo.