Je, Simba wataweza kuvuka makundi?

Je, Simba wataweza kuvuka makundi?

Simba ajipange maana akishinda mechi moja tu atarudisha confidence ya kupata matokeo. Mimi ni yanga ila yanga sio ya kuiamini sana kutuvusha kwenye mashindano makubwa.
Huku Yanga [emoji617] hatuna shabiki Andazi kama wewe, bakia huko huko Kwa Mikia wenzako. Na makundi hamtoboi ng'oo
 
Horoya akishinda game zake mbili za nyumbani simba haendi kokote, shida ndio ipo hapo.
Game zake mbili Horoya nyumbani atacheza na Vipers na Raja,wewe unaonaje hapo atashinda izo mechi zote?
kumbuka Horoya Vs Vipers mechi ya kwanza wali draw.
 
Game zake mbili Horoya nyumbani atacheza na Vipers na Raja,wewe unaonaje hapo atashinda izo mechi zote?
kumbuka Horoya Vs Vipers mechi ya kwanza wali draw.

Horoya akicheza na raja Guinea kabla jua halijazama. Horoya atashinda mechi hiyo na raja..

Na najua horoya wajanja watafosi ratiba isiwe usiku

Waarabu hawana makali kwenye jua

Juzi tu Al hilal ya sudan imemfunga Al Ahly ya misri... mechi ilikuwa mapema jua bado lipo
 
Game zake mbili Horoya nyumbani atacheza na Vipers na Raja,wewe unaonaje hapo atashinda izo mechi zote?
kumbuka Horoya Vs Vipers mechi ya kwanza wali draw.
Vipers vs Horoya, Uganda. Vipers walishambuliwa sana japo walikuwa nyumbani kwao. Mechi ya marudiano itakuwa ya kufa na kupona kwasababu mpaka wanakutana hapo kila mmoja anajua hiyo mechi akishinda itampeleka wapi maana ndiyo ya mwisho. Mechi za kujiangalizia upepo wako ni hizi mechi mbili mbili zinazofuatana kwa kila timu (Vipers vs Simba/ Simba vs Vipers na Raja vs Horoya/ Horoya vs Raja)
 
Horoya akicheza na raja Guinea kabla jua halijazama. Horoya atashinda mechi hiyo na raja..

Na najua horoya wajanja watafosi ratiba isiwe usiku

Waarabu hawana makali kwenye jua

Juzi tu Al hilal ya sudan imemfunga Al Ahly ya misri... mechi ilikuwa mapema jua bado lipo
Al Hilal mechi zao za away huwa na mentality ya kutafuta sare tu kushinda away labda itokee kama zari ila kufungwa away au kusare ni jambo la kawaida sana. Tofauti na Raja wao wanataka kukubamizia huko huko kwako sare labda itokee tu.

Ishu ya muda wa mechi, ni kwamba kwa hatua hii hii anayebariki muda ni CAF hivyo anakukubalia muda kulingana na ratiba ya haki ya matangazo kwa warushaji.
 
Al Hilal mechi zao za away huwa na mentality ya kutafuta sare tu kudhinda away labda itokee kama zari ila kufungwa away au kusare ni jambo la kawaida sana. Tofauti na Raja wao wanataka kukubamizia huko huko kwako sare labda itokee tu.

Ishu ya muda wa mechi, ni kwamba kwa hatua hii hii anayebariki muda ni CAF hivyo anakukubalia muda kulingana na ratiba ya haki ya matangazo kwa warushaji.

Ndio hivyo. Horoya anaweza akakubaliwa mechi yake ya nyumbani guinea akacheza na raja muda wenye jua. Maana caf wanataka haki za tv rights zisipotee.. mechi nyingi za siku moja zisiwe kwenye muda mmoja

Hapo ndipo point 3 atazipata za raja casablanca
 
Klabu ya Simba Sc imepoteza michezo miwili mfululizo ya klabu bingwa Africa CAFCL, lakini wamebakiwa na michezo minne miwili ikiwa ugeni dhidi ya RAJA CA na VIPERS na nyumbani dhidi ya HOROYA na VIPERS. Unaiona Simba ikitoboa quarter final?View attachment 2524841
Kwa huyu kocha mzungu,sahau kwanza ushindi,jihesabu kama shabiki wa Ihefu
 
Kikosi chetu ni kibovu, simba yatakiwa itoke ili wajipange upya. Wakiendelea mbele itakuwa mbaya msimu ujao.

Ila wakitoka napo wasahau mauzo ya jezi
 
Hata isipovuka si jambo geni Simba kuingia robo fainali. Simba inashinda ikiamua sio kama wale wanaoahidiwa kupewa kodi/tozo zetu ili washinde
Kwamba mlivyomfuata muarabu kinyumenyume, mlikua hamjaamua kushinda?
 
Yanga atapita hatua ya makundi, simba atashika nafasi ya mwisho kwenye kundi lake.
 
Simba atapita kwenye makundi .

Siongelei ushabiki ila msukumo wa nafsi .

Reserve my comment.
 
Back
Top Bottom