Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 620
- 1,240
Simu yako inapata Sana Joto !!!
Ulikua unatumia simu fresh tu ghafla simu imebadilika na kuanza tabia za ajabu inapata joto sio mchezo 😏, ukitumia kidogo ilo joto lake unaweza sema umechemsha chai kwenye heater 😀.
Kuna sababu nyingi ambazo upelekea simu Zetu kupata sana joto wakati tunazitumia kama vile
✓ kutumia simu kupitiliza yani wewe masaa mengi unatumia simu upelekea kupata moto
✓ Mwanga Mkubwa wa simu yako upelekea simu kupata sana joto
✓ kuchaji chaji simu Kila mara au unakuta simu inashinda kwenye chaji upelekea kupata sana joto
✓ chaji unayotumia sio original mbovu au betri bovu upelekea simu kupata sana joto
✓ kutumia simu kwenye jua upelekea simu kuua kwa kupata sana Joto, kuua betri pamoja na mfumo mzima wa circuit ya simu
✔️ Kutokufanya update kwenye simu yako Kwan app au system inakua outdated na kupelekea simu kushika sana moto.
✔️ Virus au malware , kupitia virusi vinavyoingia kwenye simu usababisha mfumo wa simu kutumika kwa nguvu na kupelekea kupata sana joto.
Unafanyaje kuwa Salama
⚙️ Punguza Mwanga kwenye simu yako
⚙️ Usipende kuweka makava magumu kwenye simu
⚙️ Usitumie simu kwenye jua Kali jihadhari
⚙️ Tumia chaji imara au original
⚙️ Badilisha betri
⚙️ Hakikisha unapenda kufanya update ya app na mfumo mzima wa simu yako.