Criss
JF-Expert Member
- Mar 19, 2011
- 1,959
- 3,172
Kila ninapojaribu kuchekecha akili najikuta nakosa jibu.
Hivi respond yetu kama Taifa na tukiwianisha kosa la wahusika vinawiana kweli?
Okay fine , let's assume nikweli Bonifasi Mwangi na mwenzake walikuwa wakosaji ,je adhabu za wakosaji wamakosa kama yao ndiyo wanaostahili kuadhibiwa kwa namna ile ?
Je! Swala la mateso na udharilishaji wa kiutu ndiyo aina ya adhabu zinazotumika kuwapatia wanaokiuka sheria zetu?
Wakenya hawawezi kudhani pengine tunasababu iliyojificha na haya yaliyotokea tunatumia kama kichaka tu chakujificjia ili kuzitolea hasira zetu dhidi yao?