Wabongo wengi wana inferiority complex dhidi ya WakenyaKila ninapojaribu kuchekecha akili najikuta nakosa jibu.
Wakenya hawawezi kudhani pengine tunasababu iliyojificha dhidi yao?
Tatizo unatumia makalio badala ya kichwa kufikiri. Yale majinga yanayojiita wanaharakati yalitumwa na serikali ya Kenya? Na yule wa Uganda naye vipi? Watu km ww ni km wachawi wanatakaga kuona uharibifu na kuushabikia. Kule Kenya umeona serikali yao ikiwatetea? Bunge la Kenya limewatetea? Ukiacha hivyo vijana visivyo na adabu mtandaoni.Kila ninapojaribu kuchekecha akili najikuta nakosa jibu.
Wakenya hawawezi kudhani pengine tunasababu iliyojificha dhidi yao?
We ni bwege kweli, viongozi wetu wana tatizo gani, badala uwasifu unaonge utumbo? Ndio maana ht wale wavuta bangi wa Kenya wanawadharau, nendeni Kenya km kuna mkenya atakuwa upande wenu.Hakuna tatizo. Ni tayizo la uongozi wetu wanatusaidia kuamsha; asiyetaka ajinyonge afe
Viongoz wako hawana tatizo? ππππ , uwaasifu?We ni bwege kweli, viongozi wetu wana tatizo gani, badala uwasifu unaonge utumbo? Ndio maana ht wale wavuta bangi wa Kenya wanawadharau, nendeni Kenya km kuna mkenya atakuwa upande wenu.
unataka kuficha kuwa CCm ndio watafuna nchi na kuharibu katiba na sheria zote.Kila ninapojaribu kuchekecha akili najikuta nakosa jibu.
Wakenya hawawezi kudhani pengine tunasababu iliyojificha dhidi yao?
Kuwa upande wa viazi ni ngumu sana bwashee.We ni bwege kweli, viongozi wetu wana tatizo gani, badala uwasifu unaonge utumbo? Ndio maana ht wale wavuta bangi wa Kenya wanawadharau, nendeni Kenya km kuna mkenya atakuwa upande wenu.
yaani nisifu takataka za bungeni mule dah!We ni bwege kweli, viongozi wetu wana tatizo gani, badala uwasifu unaonge utumbo? Ndio maana ht wale wavuta bangi wa Kenya wanawadharau, nendeni Kenya km kuna mkenya atakuwa upande wenu.
Mzee Kibao ni mzee wangu katika ukoo huko Tanga, ameuliwa harafu rais wako anajitokeza anasema kifo ni kifo; shenzi wote.We ni bwege kweli, viongozi wetu wana tatizo gani, badala uwasifu unaonge utumbo? Ndio maana ht wale wavuta bangi wa Kenya wanawadharau, nendeni Kenya km kuna mkenya atakuwa upande wenu.
Lugha + thamani ya pesaWabongo wengi wana inferiority complex dhidi ya Wakenya
National security protocol inasemaje huko Tanzania?Kila ninapojaribu kuchekecha akili najikuta nakosa jibu.
Hivi respond yetu kama Taifa na tukiwianisha kosa la wahusika vinawiana kweli?
Okay fine , let's assume nikweli Bonifasi Mwangi na mwenzake walikuwa wakosaji ,je adhabu za wakosaji wamakosa kama yao ndiyo wanaostahili kuadhibiwa kwa namna ile ?
Je! Swala la mateso na udharilishaji wa kiutu ndiyo aina ya adhabu zinazotumika kuwapatia wanaokiuka sheria zetu?
Wakenya hawawezi kudhani pengine tunasababu iliyojificha na haya yaliyotokea tunatumia kama kichaka tu chakujificjia ili kuzitolea hasira zetu dhidi yao?
Hakuna Ugomvi wowote ni Ujinga tu wa Chura KiziwiKila ninapojaribu kuchekecha akili najikuta nakosa jibu.
Hivi respond yetu kama Taifa na tukiwianisha kosa la wahusika vinawiana kweli?
Okay fine , let's assume nikweli Bonifasi Mwangi na mwenzake walikuwa wakosaji ,je adhabu za wakosaji wamakosa kama yao ndiyo wanaostahili kuadhibiwa kwa namna ile ?
Je! Swala la mateso na udharilishaji wa kiutu ndiyo aina ya adhabu zinazotumika kuwapatia wanaokiuka sheria zetu?
Wakenya hawawezi kudhani pengine tunasababu iliyojificha na haya yaliyotokea tunatumia kama kichaka tu chakujificjia ili kuzitolea hasira zetu dhidi yao?
Kwa kweli tuna tatizo kubwa, tena sana!Kila ninapojaribu kuchekecha akili najikuta nakosa jibu.
Hivi respond yetu kama Taifa na tukiwianisha kosa la wahusika vinawiana kweli?
Okay fine , let's assume nikweli Bonifasi Mwangi na mwenzake walikuwa wakosaji ,je adhabu za wakosaji wamakosa kama yao ndiyo wanaostahili kuadhibiwa kwa namna ile ?
Je! Swala la mateso na udharilishaji wa kiutu ndiyo aina ya adhabu zinazotumika kuwapatia wanaokiuka sheria zetu?
Wakenya hawawezi kudhani pengine tunasababu iliyojificha na haya yaliyotokea tunatumia kama kichaka tu chakujificjia ili kuzitolea hasira zetu dhidi yao?
We mbwa koko we na ukoo wako ndio mna matatizo, viongozi wana matatizo gani, unalazimisha? Km mmezoea matatizo siyo kila mtu. Bwege kweliViongoz wako hawana tatizo? ππππ , uwaasifu?
Actual bullshit is this?