Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anasaini na jezi ya Simba mbele ya mashabiki wa Azam?Video imeanza kusambaa ikimuonesha mchezaji wa Azam Sospeter Bajana akiweka dole kwenye makaratasi huku akiwa na jezi ya Simba.
Je hii ni dalili kama amesaini Simba?
Jionee mwenyewe:
View attachment 2625327
Kwa level ya wachezaji wa ndani huyu anatosha, uwezi kumlinganisha na uchafu nasoro kapama.Simba waache ujinga, watafute quality players.