mtelezo Member Joined Jan 31, 2015 Posts 62 Reaction score 27 Jun 12, 2016 #1 Je hawa startimes wanaonyesha hizi mechi? Na kama wanaonyesha ni kupitia kifurushi kipi??
Wonderful JF-Expert Member Joined Apr 8, 2015 Posts 7,347 Reaction score 5,986 Jun 12, 2016 #2 Hawaoneshi, wanaonesha Copa America kwenye kifurushi cha Jambo.
WAIKORU JF-Expert Member Joined Dec 9, 2015 Posts 1,586 Reaction score 2,454 Jun 12, 2016 #3 Star times Wahuni tu....wanatudanganya sana Wateja Wao.....wanatuzuga na copa america ..sa kumi usiku nani wa kuangalia Haiti vs panama... Bora ata wenye Azam wanafaidi kidogo.....
Star times Wahuni tu....wanatudanganya sana Wateja Wao.....wanatuzuga na copa america ..sa kumi usiku nani wa kuangalia Haiti vs panama... Bora ata wenye Azam wanafaidi kidogo.....