Je,stika za TRA kubandikwa juu expire date ni sawa?Nimekuwa mtumiaji wa bidhaa mbalim

kiface

Senior Member
Joined
Jan 23, 2014
Posts
151
Reaction score
61
Nimekuwa mtumiaji wa bidhaa mbalimbali,kwamfano: vinywaji,vyakula n.k. Lakini nimegundua kuwa kinywaji aina ya PEÑASOL(wine) stika ya TRA inabandikwa juu ya expire date,na unapobandua kwa dhumuni la kusoma muda wa matumizi ile stika inabanduka na yale maandishi. Leo nimenunua kwabahati nzuri yale maandishi yanasomeka kuwa ime-expire toka sept,2013. Je,hii imekaaje kusheria?
•Au ni ujanja wa importer(s),kula na mamlaka husika kuingiza vitu vilivyokwisha muda wa matumizi?
•Je, TBS/TFDA hawajaliona hili?
nawasilisha....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…